Ukimbembeleza sana mwanamke unamkosa

Ukimbembeleza sana mwanamke unamkosa

Kumbuka mleta uzi hajasema ni bikra ipi hiyo. Tusaidie kuulizia na hili pia Mkuu.
Hahahaha hajasema ikiwa yaliyotarajiwa yalikuwemo..sema kakaharibia tu misimamo katoto ka watu kwasababu hapo ndio amekawasha data sasa
 
Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati unless ubadirike uwe kauzu.

Mwaka jana january tulipata house girl hatukuwahi kuwa na mpango wa binti familia yetu ndogo na wife yupo home tu ila sababu mama mkwe aliomba tukae naye kwakuwa mtu aliyemtafutia huyo binti hakutaka binti wa kiislamu tukaona sawa tu kwakuwa march nilikuwa na safari ya miezi miwili niliona ampe kampani wife. kabinti kalipokuja kazuri keupe na ushungi muda wote katika maongezi alidai anataka kaa hadi mwezi wa tisa anatafuta ada ajiunge CBE dodoma.

Shida imekuja roho ya kukapenda haka kabinti ikanijia siku moja nikakatongoza hapo iilikuwa mwezi wa 6 tarehe za katikati niliongea naye vizuri akasema nisubiri amalize certificate, pili yeye bikra anajitunza kwa ajiri ya mume wake, tatu nijitambulishe kwao kwanza ndio atanikubalia. kitendo cha yeye kusema bikra ni kama alinichochea moto nimuombe hiyo zawadi adhimu ambayo sijawahi ipata. mwisho akaomba nimpe muda mwezi mmoja atanipa jibu ambayo ni july.

July imefika siku moja tuko sebuleni mimi yeye na wife ghafla akaanza kulia anataka rudi kwao, wife kumuuliza sababu hasemi nikaona akiendelea mbembeleza aseme sababu nitaumbuka, nikamuita wife chemba nikamwambia huyu binti hatukuwa na mpango wa kukaa naye na kwasasa hatumuhitaji bora tumruhusu tu aondoke wife kakubali tukampa nauli na mshahara japo kuwa mwezi haukuisha akasepa.

Toka amerudi kwao miezi miwili imepita sikumtafuta mpaka siku moja ananitafuta yeye kuwa kashaanza chuo nikampa hongera akasema alifikiria jambo langu lakini yeye anamuogopa dada (wife) pia mimi nisipomuoa yeye akija olewa bila bikra atadharaurika nikampa elimu akanielewa january likizo akasema atakuja kunipa zawadi ila anaomba nimsaidie kwenye masomo yake na nisije mtupa nikaona ombi rahisi sana na kwakweli nilimsaidia na zawadi yake alinipa.

Najua sababu ya kuondoka ni mimi kumtongoza na ningeendelea kumbebembeleza ningemkosa kabisa hata huko uliko.
Fala sana wee jamaa.Yaani umekula bikra ya mtoto wa watu hivi hivi?!!!.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabila gani huyo?
 
Daah watu wakatili na waharibifu sana, hiv hiko kibint kipate mimba utamueleza nini wife wako?! Utamweleza kuwa ulifuata bikra[emoji848]
 
toka january mwaka huu hana mimba, yupo anafanya kazi steshenari huku huku dar.
 
Tupia picha basi ya hiyo bikra yake wana jf na sisi tujifunze kwako mwanandoa
 
Hivi hizi Siri nzito nzito mnazokuja kumwaga humu mnauhakika Gani kama watu wenu wa karibu hawapo humu?

Maana umefunguka sana mkuu, shauri Yako utakuja kudakwa vibaya wewe 😂
 
nilikuwa uturuki miezi miwili sikupata demu wa kituruki atasheri hata mmoja niliambiwa haweto toi ovyo kwa foreigners kabla ya ndoa nikaishia date na wa romania na african kuna nchi ni culture kabisa bikra.
Hahahaaa.....
 
Back
Top Bottom