Ukikutwa unaonesha picha za ngono ukumbini

Salathiel m.

Senior Member
Mar 12, 2011
185
41
Eti wadau ukikutwa unaonesha picha za ngono ktk ukumbi na ukikamatwa utashtkiwa kwa kosa gani? plz help
 
Kosa la kuzionesha bila ya kuwa na 'lab.' ya"practicals". Ikiwa vigezo na masharti vitazingatiwa, hapo hakuna kosa ambalo kwalo utashitakiwa ati!
 
Utashtakiwa kwa kosa la kuonyesha picha za ngono
Na itategemea ulikutwa nao wana umri gani kama under 18 utakuwa mfano kwa wengine
 
picha zote za ngono ziko rated 18+ sasa kama wakikuta watoto wako humo utajua sheria ipi itakuadhibu
kwanza hata Mungu hapendi
 
Back
Top Bottom