Dr Simba
JF-Expert Member
- Apr 27, 2016
- 997
- 1,245
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi sitaweza kujizuia lazima nitacheka nikiwa nimelala kifudifudi

HahahahaMkuu simba mnyama anaweza kukaa pemben yako, ww ukiwa umelala kifudifudi then ukaaanza kucheka???
Simba akinusa mzoga anaujua...!
Labda uvizie wakati anakunusa makalio, halafu utoe shuzi la kimzoga mzoga!
Leo mnanivunja mbavu tumi sitaweza kujizuia lazima nitacheka nikiwa nimelala kifudifudi
Sasa Kutana nae alafu ufanye yote haya..hivi we wamjua Simba kwelii... Si kuona kwa Tv.. Ushamvona Simba Livee.!? Mubashara!!Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Safi sana na ukikutana na Yanga?Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Umesema kweli asidanganye watu, wataalamu wa wanyama pori wanakwambia ukikutana na simba muangalie usoni usikimbie ataona aibu, simba anaaibu sana.Hiki ulichoandika hapa sio msaada kabisa.Simba anakula mzoga kama kawaida.
Utalalaje CHALI na wakati huo huo KIFUDIFUDI? katika viumbe vyote labda minyoo tu ndio inaweza.Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Tafuta AzamuSafi sana na ukikutana na Yanga?
Mimi nilikutana naye nkapanda mtini yule kumbe yule simba alikuwa na njaa inaonekana, akalala chini akikodoa kodo kunisuubiri pale chini.Nilikutana Naye Nkatumia Njia Yako Nkajdai Nimekufa Baadaye Nkamwambia SIMBA KIMBIA MARA MOJA, aisee alitoka nduki nusu avunjike mguu, nahsi hatarudia tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] umenifanya nicheke kwa sauti lolHohoo!harufu ya kujamba mavi ikiwa mbaya mithili ya yai lililooza kwa ghadhabu simba akiamua kuyang'ata matako(ooh kumbe ni makalio) utafanyaje?umjambie usoni?na wengine ushuzi wao hunuka sana.Hebu jaribu kuvuta picha,simba mkubwa na limdomo lake ayafumbate makalio ya mtu...
haha hNa VP ukikutana na Azam? Maana juzi kafanya kitendo cha ukatili sana