kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 872
Simba hachekewimi sitaweza kujizuia lazima nitacheka nikiwa nimelala kifudifudi

Labda ulimaniisha Simba mtani wa Yanga au simba DiamondUwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Jamaa acha unamzungumzia simba wa kuchora au labda awe hana njaa simba mm nilisha ona anakula mzoga usiwadanganye watu solution ni nduki panda mti tu.
"LALA CHALI KIFUDIFUDI" Hapo sijakupata mkuu.Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Simba akinusa mzoga anaujua...!
Labda uvizie wakati anakunusa makalio, halafu utoe shuzi la kimzoga mzoga!
Hahahah umefanya nimecheka kwa sauti asee...Simba akinusa mzoga anaujua...!