Dah, mi nakumbuka siku moja mwalimu alituchapa mpaka damu ikavilia matakoni. kwa vile nilikuwa mtoto nilikwenda mpaka kwa marehemu baba yangu (RIP) nikamwonesha nilivyochapwa c nikavua nguo nikamwonesha ******. duh mpk leo nikikumbuka nacheka kweli. utoto bana asikwambie mtu!