....ukikumbuka huwa unacheka au kufehedheshwa

ngararumo

Senior Member
Oct 17, 2011
173
43
..jamani leo naomba tujadili jambo ambalo ulshawahi kutenda au kutendewa ukiwa shule ya msingi au mdogo ambalo lilikufehedhesha au had leo ukkumbuka huwa unacheka

...mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu kitabu kilipotea darasani kuna jamaa alikua ameiba ikawa bonge la noma sa jamaa aliyeiba akaona kimenuka akakiweka kile kitabu kwenye mkoba wangu sa waalim wakaamua kufanya msako wa kile kitabu wanakagua mmoja baada ya mmoja kwa kuwa mimi nilikua najiamini ni kawa wa kwanza kukaguliwa nimefungua mkoba wangu mara kitabu hiki hapa sikuamini macho yangu wanafunz wenzangu wakaanza kunizomea nakuniita mwiz.....hadi leo nkkumbuka huwa inanifehedhesha sana
 
Dah, mi nakumbuka siku moja mwalimu alituchapa mpaka damu ikavilia matakoni. kwa vile nilikuwa mtoto nilikwenda mpaka kwa marehemu baba yangu (RIP) nikamwonesha nilivyochapwa c nikavua nguo nikamwonesha ******. duh mpk leo nikikumbuka nacheka kweli. utoto bana asikwambie mtu!
 
mi nakumbuaaa nilikuwa na majitaa wangu...tulikuwa tunatabiaa ya kutembea na vioo na kuchungulia wasichanaa,siku mojaa mwalimu wa kingereza alitegeshewaa banaa afuu mi ndo nilikua na ingia kwa vile nimechelewaa nikawaa na nyata...laahaula mwalimu kugeukaaa ananiona,akakanyaga kilee kioo mama yangu.....sipendi kuendeleaaaa ofisi nzimaaa inakuchapaaa doh
 
..mie nilipkuwa shule ya msingi..ilikua nikichelewa namba tu..najichanganya kwa wapiga ngomza za shule( bendi ya shule)
 
Dah, mi nakumbuka siku moja mwalimu alituchapa mpaka damu ikavilia matakoni. kwa vile nilikuwa mtoto nilikwenda mpaka kwa marehemu baba yangu (RIP) nikamwonesha nilivyochapwa c nikavua nguo nikamwonesha ******. duh mpk leo nikikumbuka nacheka kweli. utoto bana asikwambie mtu!

Daaa pole sana...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom