Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Nitataja kimafumbo.
Ngoja saa moja ifike
Kwanini usipotezee tu maana mpaka hapo ashajua kosa lake na amejufunza. Labda hiyo picha imemvutia afanye anayofanya.
Malizana naye huko huko.
Maana kuna wengine watakuogopa kuwa wakija kwa mawasiliano ambayo labda si kama ya huyo jamaa kuwa unaweza kuwaweka hadharani.
 
Unaweza kukuta wala hakuna aliyemsumbua huko PM

Ameamua tu kupima soko limekaaje kwa sasa,

Natania tu lakini.
Japo tuna hisi tu hatuna uhakika pia unaweza kukuta pia mtoa mada ni kidume , kwa hiyo kimemkataa mwamba kimkakati ili kulinda faragha yakeπŸ€”

Note: huwenda, ni hisia tu wala sina hakika πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…