Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,425
- 8,368
Hapa wamedislike 4 sasa sijui ni yupi au wote umewapiga vibuti na sasa wamekuja huku kwa hasira. π€Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Na kuna ukarimu mwingine ni dhambi.Uchoyo ni dhambi,
Niambie dada nilichelewa kidogo,boss Yuko wapi LamomyMarry Diana njoo ukutane na boss OG achana na wabeba pima maji na mwiko..!! πΉ
ππππ Hapana mkuu nahisi huyo atakuwa dosho12 maana kuna uzi kamwambia Harmful kwamba siku hizi ana gundu la kukataliwa.Kijana Masikini homeboy siyo wewe huyu kweli
CHAWA mpka huku upogowanao koseana ndio wanaopatana,
pendaneni na ikiwezekana peaneni tu, maana huo ndio upendo wa kweli, msinyimane upendo bila sababu za msingi, haipendezi.
Toa ushuhuda πHumu kuna ving'ang'anizi sijawahi ona
NitatizamaZipo angalia nilizopost
πππ he kuna na kudislike tena! Ngoja nichungulie huko juu.Huyo hayumo kwenye watano walio dislike hadi sasa π
Hivi Id za kike humu mnazijuaje?Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Muda muhimuπ
πππ kuimba kupokezana.ππ dah umeamua kunirushia kijiti ndugu yangu , haya bwana
Mkatae aliyekupenda ki diplomasia, umetumia ukatili zaidi, hii ni gender based psychological violence (GBPV), nashauri mshambuliwa aende polisi, dawati la jinsia ili haki itendekeNaona hii tabia imeota mizizi sasa.