Ukikataliwa ni neno gani unalosema

Ukikataliwa ni neno gani unalosema

Unakataliwa vipi? Unaendeleza mtongozo kama kweli umependa hadi mrembo aseme wewe msumbufu sana miaka yote hii bado unanitongoza tu haya andaa mazingira nikupe papuchi weekend hii. 😛😛😛

Pale unapomfukuzia mtt mda mwingi na akakugomea kabisa ni neno gani la mwisho unalomwambia
 
Kwanza mi huwa siendagi lesi huwa naenda nae taratibu mpaka ananielewa, kama hayupo tayari mwenyewe atanikwepa tu
 
Back
Top Bottom