Ukiitaka nipm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiitaka nipm

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lolyz, Sep 23, 2011.

 1. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  A Man buys a lie Detector Robot which slaps people who lie...
  He decides to test it one evening at Dinner. So he asks his son.
  >>>>
  >>>>''Where were you today during school hours??''.... ''l was in class''.... Son
  >>>>replies.. ''Twack!!!'' the Robot slaps Son. The Son goes like,...''ok... l lied,
  >>>>l went to the movies''...
  >>>>
  >>>>Dad asks...'' Which movie was it''??... ''Toy Story 3''.... Son
  >>>>replies....''Twack!!''.. Robot slaps son again!.... ''Ok!!..Ok... It was
  >>>>Porn!!''.... Son confesses.
  >>>>
  >>>>Dad gets Angry and says...'' Whaaaat!!!!, when l was your age, l didn't even
  >>>>know what porn was...'' ''Twack!!!'' Robot slaps Dad!...
  >>>>
  >>>>The man's wife who had been quiet all this while says...'' Forgive him Dear,
  >>>>After all, He's your Son'' ...... ''Twack!!!' Robot Slaps mum....
  >>>>
  >>>> The machine is available in the Chinese market if u need one contact me
  immediately!!


   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  lol hii kali.
   
 3. D

  Dr Kingu Senior Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inauzwa bei gani mkuu. Nataka ninunue kwa ajili ya viongozi wa siasa ili wakidanganya tu wapate slap. Wamezidi kutudanganya.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Lol....hii haifai..
   
 5. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Haa haaaa haa tena kweli hoja ya msingi .. ngoja nichek dola ntakujulisha
   
 6. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwanini unasema hivyo mi naona inafaa bana tena sana....imagine unarud late home wife anakuuliza umetoka wapi?ww unajibu job...
   
 7. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Haa haaaa Monique vp umeipenda???
   
 8. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hii itarusha nyuma maendeleo...!
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nilivyoona "heading" mawazo yangu yakanipeleka "sehemu nyingine kabisa"!

  Ukiitaka...NiPM
   
 10. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lazima utakuwa mwanasiasa !!!!una wasiwasi utashindwa kuzmek lol
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Tatizo lake ni kwamba huu ni mtego wa panya...huwanasa waliomo na wasiokuwemo!!

  Inawezekana mume akasema uongo ila kabla hamjamaliza maongezi Robot ikamngeukia mwingine pia...Sina hakika kama kila aliye karibu atapona!!

  Mie siitaki kabisa hata kama ingewafaa wanasiasa. Labda iwekewe masharti kwamba ni kwa matumizi ya majukwaani tu!!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hii kali!!! Hii story tells us sometimes it is better not to know the truth....
   
 13. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Baba Eno..imagine sister yako kapata mchumba na unamdadis huyu shemeji na hii ditector iko karibu inakuwaje????
   
 14. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mi nakushauri kama utapenda itumike majukwaani ina maana binafsi hupendi kudanganywa .so inabidi itumike majumbani kwanza ili huyu anayeenda jukwaani aogope kuongea uongo nje ya nyumbani kumbuka na yeye ana nyumbani Lol !
   
 15. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  AshaDii ...Ni kweli ila sumtym ni vizuri kuujua ukweli ingawa inauma ila time will heal it ..
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hilo lipo wazi
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu,

  Sina hakika kama tunayo tafsiri moja ya familia...Yapo mambo mengi sana kuhusu wenzetu kwenye familia ambayo hatuyajui ila tuna afya njema na siku zinaenda kwa sababu hatuyajui...

  Naomba yaendelee kubaki hivyo hivyo ili nimalizie salama siku zangu zilizobaki za kuishi hapa duniani!!  Kama unataka tukuandikie salamu za R.I.P haraka sana, endekeza tabia ya kutafuta ukweli usio na tija!!
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kumbe na baba alikuwa ni memba wa jukwaa la M K..
   
 19. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35


  Haaa haaaaaaaa hebu usinichekeshe miye R.I.P haya hebu nizione ndio zinafananaje hizo ??
   
 20. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo sasa kumbe ni kama msumeno lol
   
Loading...