Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,602
- 3,660
Kumbuka baada ya Passport yako kufuatiliwa ilionekana umetembelea nchi zifuatazo:-Hii ndio changamoto unayokumba vijana wengi kwamba kama ukiishi Dar es salaam unaonekana bora kuliko wengine wanaoishi mikoa mingine,sasa nilienda mkoa Fulani kama kawaida mida ya jioni baada ya shughuli za hapa na pale nikajisogeza kijiweni,basi yule aliyekuwa anasikilizwa na wote ni yule aliyewahi kuishi Dar sisi wengine tulionekana kama malofa!
Nilipoona dharau zinazidi ikabidi nijifanye natoa Simu (mfukoni nilikuwa na passport) nikaidondosha makusudi baada ya kudondoka chini kila mmoja akataka aione!
Wakakuta mtu mzima nimezunguka nchi kibao tu za kimataifa halafu nipo simple tu!hadi naondoka mkoa ule yule kijana wa Dar hakuonekana tena kijiweni[emoji2] ,Dar ni mkoa kama mikoa mingine na kuna watu Dar wanaoishi majumba mabovu kuliko mikoa mingine, vijana wa Dar mjirekebishe!ni hayo tu
Congo
Rwanda
Burundi
Uganda na Zambia.