Ukiingia cha kike tarajia kuyaona ya kike

Ukiingia cha kike tarajia kuyaona ya kike

Ni utoto tu.. Huez toa mawazo ya kundi la whats app ukaya vaa kua maisha yako.. Hamna mtu alie serious akafanya huu upuuzi..
 
Sio magrupu yote ya wasaps yana mambo mabaya yapo mengine ni visima vya maarifa unapata Vifungu vya biblia,habari za siasa/michezo/kilimo mpaka raha.

Ukija na upupu wako sijui picha/video za ajabu aloo watu wanakutoa nduki kubwa.
 
Back
Top Bottom