LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,158
- 27,193
Shule za private zipo za Aina kadhaa.
1. Zinazo milikiwa na Taasisi (eidha za kiserikali, zisizo kuwa za kiserikali au Taasisi za kidini)
2. Zinazo milikiwa na makampuni.
3. Zinazo milikiwa na watu binafsi (Sole Proprietors)
Kwere yangu ipo kwenye number 3
Mmiliki wa shule akifilisika shule nayo inafilisika pia. Anashindwa kulipa walimu mishahara. Walimu vipanga wanakimbia na mwisho wa siku shule inashuka kitaaluma.
Usiombee hali hiyo itokee wakati ambao mwanao yupo kwenye mwaka wa mitihani ya Taifa hasahasa mwaka wa mwisho wa masomo (Std 7, Form 4 au Form Six)
No. 2 Kuna unafuu kidogo coz hata makampuni pia yanaweza kufilisika.
Suluhisho: Wazazi/walezi, kwa maslahi mapana ya elimu ya mtoto wako, mkomalie alapate alama nzuri kwenye mitihani ya Std 7 au 4 ili achaguliwe kwenye shule kongwe za serikali ambazo zilikuwa zinachukua wanafunzi wenye vipaji maalumu na mkomalie sana kuhusu Twit pindi anapokuwa likizo.
Kwa nilichokishuhudia kwenye shule moja ya private ni bora nimpeleke mtoto wangu shule ya serikali halafu nimkomalie Twisheni kuliko kupoteza mkwanja mrefu for nothing.
Kama unamaanisha kweli kumsomesha mtoto wako shule ya private basi mpeleke kwenye shule ambayo ada yake ni kuanzia milioni kumi kwenda juu na ambayo inalipwa yote kwa mkupuo au at least awa awamu mbili.
Kwa kiwango hicho cha ada at least unakuwa na uhakika kwamba walimu wanapata mishahara mizuri.
Kama hauna uwezo huo basi mpeleke tu shule ya serikali vinginevyo ndugu yangu utakuwa unacheza makida makida.