Ukifika Capetown utashangaa sana

Wala ujapindisha kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nigeriens ni wapambanaji haswa
 
Hapo ni Table mountain, kuna hotel hapo juu unapanda kwa cable kufika hapo na unaliangalia jiji lote la Cape Town kwa chini na bahari zotebili unaziona Indian ocean east na Antrantic ocean west cost.

Mzee mzima check facts zako vizuri! Hicho kilichopo milimani ni restaurant tu, hamna hotel, na unaweza kufika kwa kuhike pia, si lazma cable car pekee. Milima inayoonekana kwenye hiyo picha, huu wa kwanza unaofanana na "seal" unaitwa Lion's Head japo pia upo ndani ya hifadhi ya table mountains.

Pia upande huu hakuna Indian Ocean hata kidogo.
 
Ngoja nikutowe ushamba, hiyo inaitwa Buravozi inatamkwa hivyo, hata Bongo kwenye super market zipo.

Nyama siyo issue south Africa labda uongee jambo lingine.

Wao ndio wanaongoza kwa kula nyama Africa nzima.
 
Nashukuru kunipa jina lake kamili. Wangesema mm nawashika na kamba ya uwongo. Wasiyadharau mabomu ya hapa mmesikia wenzetu wanavyoongoza kwa kula nyama. Nyama ni nyama tu mradi isiwe na ugonjwa.
 
Nashukuru kunipa jina lake kamili. Wangesema mm nawashika na kamba ya uwongo. Wasiyadharau mabomu ya hapa mmesikia wenzetu wanavyoongoza kwa kula nyama. Nyama ni nyama tu mradi isiwe na ugonjwa.
Bado unapotosha, hizo buravozi zipo ni very cheapest price, lakini nyamba nyingine zipo kama kawaida, tena mabucha yao mbele kuna brai mashine,. Unanuwa gram unazotaka unapewa nafuta unachoma mwenyewe nje kwenye brai mashine na ugali unauzwa hapohapo take away maisha yanaendelea

Kimsingi mfumo wa South Africa usipokula nyama labda una matatizo binafsi tu kama uric acid.

Hata Bongo mshikaki unaanzia mia tano mpaka buku mbili ile ya fillet na nundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…