Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

Mshana Jr...
Baada ya kifo nini kinafuata..?

Je..? Tunaenda peponi au motoni.

Au..death is the beginning of the new life..? ( I mean...life is cycle).

Vitabu vya dini vinanichanganya tu.
 
Ukikijua hakikusumbui ila mshana wacha kiogopeshe maana waliojua maana wanamaliza wenzao. Watu wakikizoea na kuijua Siri utu hautakuwa na maana.dunia itaparaganyika.
 
Aaawh imebidi nitoke ndo nisome japo ni mchana๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ