Mshana Jr...
Baada ya kifo nini kinafuata..?
Je..? Tunaenda peponi au motoni.
Au..death is the beginning of the new life..? ( I mean...life is cycle).
Vitabu vya dini vinanichanganya tu.
Uongo...Sijui kwanini, but sijawahi kukiogopa kifo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afadhali umeileta mchana ..ungeileta kwenye saa nne usiku ivi usingizi unaweza ukagoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hv Kuna mtu haogopi kufaha ha uko kwenye kundi la wale watu wanaogopa kufa na kifo
Kwanini boss?Upweke ni hitaji la utashi wa mwili wa nyama uharibikao.. Roho haina upweke
ReincanationMshana Jr...
Baada ya kifo nini kinafuata..?
Je..? Tunaenda peponi au motoni.
Au..death is the beginning of the new life..? ( I mean...life is cycle).
Vitabu vya dini vinanichanganya tu.
Yeah uhakika ukijua siri yake uwezi ogopa[emoji2935]Kwakuwa umeijua siri yake