Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

Upweke huletwa na hisia za nafsi ndani ya mwili wa nyama
Ila mwili hujengwa kwa chakula, mazoezi, maji ili uwe imara na upate afya, je roho na nafsi hujengwa na vitu gani ?
 
Kwakuwa umeijua siri yake
Niliwahi kufiwa na ndugu wawili niwapendao mkononi mwangu na kuhudhuria mochwari mara kadhaa kwakweli zile hali zilinifanya hadi leo kuona kifo kitu cha kawaida kiasi cha kukitamani sometimes!

Zamani sikuweza hata kusogelea mlango wa mortuary but now naweza hata letewa kitu nikala mle ndani.
 
Dunia ya mochwari ni ulimwengu mwingine kabisa
 
Kuna kitu tunaita near death experience, ukikutana nayo mara kadhaa wala huogopi kifo.
Nimeshakutana nacho sana hasa kwa wale tuliokuwa tunawasaidia kufa kipindi tuko mafunzoni..
Kikomo cha kuwa...!
 
“Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.

— Mhubiri 1:11 (Biblia Takatifu)
 
Back
Top Bottom