Ukifa unazaliwa tena

Ukifa unazaliwa tena

Sasa nakujaje wakati sina mwenyeji
Kuna dada mmoja alikiw mwenyeji wangu sehemu panaitwa Mwidu mbele kidogo ya Ubena Zomozi Chalinze, hapo cha ajabu ana chumba kimoja na bwana ake. Sikulala nilikesha mlangoni mpaka asubuhi.

Yule jamaa anasema shemeji njoo ndani ulale utaumwa na mbu hapo nje nikawa nazuga napata upepo ndani ni joto. Asubuhi nilipanda bus kutoka moro bila hata kuaga. Yule jamaa alivyofika ndani tu alibali na boxer huu so ufala huu nani aende akalale

kwahiyo ulikosa hela ya gesti mseleleko mbaya sana
 
To yeye hataki kuwa mwenyeji wangu. Halafu huku jeyefu mna mawazo ya kishetwan

Yaani ulikuwa unabakwakwawaaa kilahisi sana mtu ana kaa chumba kimoja then unaenda unasema ndio mwenyeji wako
 
UONGO

Mtu anapokufa, maana yake nafsi / roho imeondolewa na mwili unaozea chini na kuwa udongo
 
Mtasikia hamtaelewa , mtatazama hamtaona , mtaambiwa hamtaelewa ole wenu enyi kizazi kiovu.
20230309_121050.jpg
View attachment 2544432
 
Back
Top Bottom