Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,482
- 65,797
- Thread starter
- #21
Ah
ahahaha noma sana ww unapendeza kuwa punda miliaKuku ...nife Christmas
ahahaha noma sana ww unapendeza kuwa punda miliaKuku ...nife Christmas
❤️❤️❤️❤️🙏Ah
ahahaha noma sana ww unapendeza kuwa punda milia
Sijui ata kwanini walificha kifo❤️❤️❤️❤️🙏
Unanijaribu unatak niseme kuwa nitachagua kuwa papa huko Baharini?Duh na ungekuwa una kufa unazaliwa mnyama ungeta uwe mnyama gani? 😂
Dah whyUnanijaribu unatak niseme kuwa nitachagua kuwa papa huko Baharini?
Lion, Tiger, Fisi, Mbwa, Chris nk
Kifup mnyama anayekula nyama ( carnivores)
Sawa ndio tujuzeMnapotea kwa Kutojua Maandiko
Napenda kula nyama san 🤣 mboga za majani kwani nimekuwa ng'ombeDah why
Duh kweli wewe mchagaNapenda kula nyama san 🤣 mboga za majani kwani nimekuwa ng'ombe
halafu kuna wanyama kama mbuzi, swala, kondoo nk hawa wanaliwa ujue 😬
Inategemeanana mkataba uliouchagua, maana huji hivi hivi.Duh na ungekuwa una kufa unazaliwa mnyama ungeta uwe mnyama gani? 😂
Ni naamini na kwa Mungu waenda kuchomwa. Haiwezekani uishi maisha ya kifedhuli duniani uwe shoga, muuaji, mchawi halafu uishie tu kwenda kuzaliwa tena. Tusiwape moyo washenzi wafikiri ufirauni wao wanaoufanya mwishowe ni kwenda tu kuzaliwa tena nchi nyingine halafu yaishe.Ww una amini nini?
Huenda hata wewe mtoa mada ulishawahi kuishi huko New York miaka ya zamani Sana kabla ya kuzaliwa tena huku Tanzania.Kuhusu mtu anaenda wapi baada ya kifo imebaki kuwa fumbo kwa sababu sayansi inasema mengine na dini mbalimbali zinasema mengine.
Kwa msichana Shanti Devi ilikua tofauti kidogo, baada ya kifo chake alizaliwa sehemu nyingine akiwa na kumbukumbu za zamani
Tushuke nayo
Shanti Devi alikuwa msichana mdogo aliyezaliwa Delhi, India mwaka wa 1926. Akiwa na umri wa miaka minne, alianza kudai kwamba alikuwa na kumbukumbu za maisha ya zamani kama mwanamke aitwaye Lugdi Devi, ambaye aliishi katika mji uitwao Muttra (kama maili 90 kutoka Delhi).
Shanti angezungumza na wazazi wake kuhusu maisha yake ya zamani, akieleza mji alioishi, watu aliowajua, na matukio yaliyotokea. Alidai kwamba alikufa wakati wa kujifungua na kwamba jina la mumewe lilikuwa Kedar Nath
Wazazi wa Shanti hapo awali walitupilia mbali madai yake, lakini kadiri alivyokuwa mkubwa, alisisitiza zaidi, na kumbukumbu zake zikawa nyingi zaidi. Mara nyingi alikuwa akichora picha za mji aliokua akiishi zamani na alama zak
ambazo wazazi wake walifanya uchunguzi na kuthibitisha baadaye kuwa sahihi.
Mnamo 1935, Shanti alipokuwa na umri wa miaka tisa, hadithi yake ilivutia fikira za mwalimu wake, ambaye alimwandikia barua profesa wa falsafa katika Chuo Kikuu cha Delhi. Profesa, aitwaye Dk
Ian Stevenson, alikuwa na nia ya kuchunguza madai ya kuzaliwa upya na aliamua kukutana na Shanti.
Walivyokutana, Stevenson alimwomba Shanti kutoa maelezo zaidi kuhusu maisha yake ya zamani. Aliweza kueleza mpangilio wa mji, majina ya mitaa, na maeneo ya majengo mbalimbali.
Pia alimtambua mwanamume anayeitwa Pandit Kanjimal, ambaye alidai kuwa alikuwa mshirika wa biashara wa mumewe.
Stevenson aliamua kuchunguza madai ya Shanti zaidi na akasafiri hadi Muttra ili kuona kama angeweza kuthibitisha kumbukumbu zake.
Aliweza kuipata nyumba aliyokuwa akiishi Lugdi Devi na kugundua kwamba maelezo mengi ambayo Shanti alikuwa ameeleza yalilingana na nyumba hiyo na mazingira yake.
Pia alimpata mwanamume anayeitwa Pandit Kanjimal, ambaye alithibitisha kuwa Lugdi Devi alikuwa mke wa mshirika wake wa kibiashara na alikufa wakati wa kujifungua.
Uchunguzi wa Stevenson ulienea kwenye vichwa vya habari duniani kote, na Shanti akawa maarufu katika jambo kuzaliwa upya. Hadithi yake baadaye iliandikwa katika kitabu kinachoitwa "Kesi Ishirini Zinazopendekeza Kuzaliwa Upya," ambacho Stevenson alichapisha mnamo 1966.
Mbali na Shanti Devi, watu wengine ambao wamewahi kuzaliwa na kuwa na kumbukumbu za kuishi zamani sawa na Shanti Devi ni kama James Leininger, Ryan Hammons pamoja Bridey Murphy
Ukijua dunian tunaishi kwa probability uwezi kuwaza sana how have sure kuna moto ukoNi naamini na kwa Mungu waenda kuchomwa. Haiwezekani uishi maisha ya kifedhuli duniani uwe shoga, muuaji, mchawi halafu uishie tu kwenda kuzaliwa tena. Tusiwape moyo washenzi wafikiri ufirauni wao wanaoufanya mwishowe ni kwenda tu kuzaliwa tena nchi nyingine halafu yaishe.
Naomba niludishwe huko New york uku bongo mambo magumu sana 😂😂Huenda hata wewe mtoa mada ulishawahi kuishi huko New York miaka ya zamani Sana kabla ya kuzaliwa tena huku Tanzania.
h ya kweli haya?Shanti Devi = Shanti Devil AU Shanti Shetani, walitoa l kwenye neno Devi ili isijulikane kuwa huyo Binti ni wakala wa shetani katika kuuhadaa ulimwengu juu ya maisha baada ya kifo.
Mimi nipo njia pandaChildren who had lived before
Nimesoma sana Habari hizi na zimetokea sehemu nyingi duniani
Kuna mtoto alikuwa miaka 4 aliwakana wazazi wake hapa
Alisema hao sio wazazi wake bali alizaliwa kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari na alitaja nyumba mpaka wazazi wake
Na walifuatitia ikawa ni kweli hiyo nyumba ipo na alipofika kuiona tu alifurahi sana
Wenye nyumba (sio wazazi) waliombwa na waandishi na mtoto aliingia mbio bila kukosea akasema chumba Changu hiki hapa na anakimbia kama wewe ukiwa kwenu unavyopajua
Mwingine ni Syria/Israel border huko Golan heights
Alizaliwa mtoto na alipokuwa miaka 3 akasema aliuwawa na hii birthmark ya kichwa ni shoka alilopigwa
Aliwapeleka mpaka kwa aliemuuwa na pia kaburi alilozikwa na wakafukua wakakuta mtu kazikwa na kichwani kapigwa na kitu kizito
Muuwaji wake alipooulizwa alikana mwanzo lakini shoka lilipatikana na akakubali kosa
Locals walisema huyo mtu alipotea 4 years ago
Hivi visa vipo ila nasoma kama hadithi ingawa wengi huwa wanashirikishwa kama professors na doctors na wataalamu kibao