Ukifa tukukumbuke kwa lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukifa tukukumbuke kwa lipi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Mar 23, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama leo Roho yako itazimika na kifo kuchukua nafasi yake. Unataka wana JF wenzako tukukumbuke kwa lipi? Funguka ndugu yangu!!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Wanikumbuke kwa mema yote niliyowatendea,,,
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mema gani TANMO uliyowatendea wana JF?
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ngoja waje watakuambia wenyewe....
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ntakumbukwa kwa meengi sana, hasa . . .
   
 6. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii hainihusu... Ila ntapitia post zenu..
   
 7. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huna cha kukumbukwa. Ina maana kongosho kakuacha kwa mbali sana!!
   
 8. MANI

  MANI Platinum Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Na watajuaje kama umekufa?
   
 9. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wewe utakumbukwa kwa lipi???
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata kama wao wasipojua kama umekufa unataka watu waku-miss kwa lipi? kwa mfano mbali ya kupigwa BAN FaizaFoxy watu wanamkumbuka kwa michango yake ya kibishi bishi. Hata tusipojua kama umekufa lakini watu waseme "angekuwepo MANI" hii ishu ingeelewa!!
   
 11. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nataka wanikumbuke kwa kusimamia ninachokiamini!!
   
Loading...