Ukienda nje ya nchi unabadili namba ya simu?

Usijali ndugu yangu. Natumai ubukheri wa Afya dada.

Nipo hapa na mie nielimike maana huwa naona tu ila sijuagi wanafanyaje.

ukhuty njoo uongeze nyama na weye.
Nipo mzima dada akee hofu kwako tu nilikukoquote sehemu jamani mmu nikaona kimya
 
Naona wajuvi mnaserereka hivi Roaming ndiyo nini?

Roaming ni kitendo cha kuendelea kutumia huduma za mtandao wako wa simu bila kubadili namba au line yako hata pale unapokua kwenye nchi ambayo kampuni inayokupa huduma ya simu haipo kwenye hiyo nchi uliyopo.

Mfano, kama una namba ya vodacom ukasafiri kwenda Malawi na huko voda hawapo lakini kuna kampuni nyingine ya simu inamakubaliano na vodacom kwamba uratumia namba yako kupitia kwao, tatizo moja ni kwamba, gharama zinakua juu. Na ndio sababu ukitaka kuweka roaming wanakutahadharisha kuhusu gharama.

Mengine atamalizia mama yeyoo mtaalam Shunie
 
Umemaliza baba yeyoo

asee nimeelewa.

Network ya simu yako pale utakapofika sehemu ambayo kuna network ambayo haitambuliki na nchi yako pia na mtoa huduma wako

Ninavyokujua utaendelea na maswali tena si unajua vile nilivyo mvivu eenh
Hapana yameisha.. hii ndiyo raha ya kuwa na vipanga jukwaani.
 
Hahhaha afadhari maswali hayaendelei nakujua baba wangu mdogo nikijibu hili utaendelea na lingine

Back
Top Bottom