Ukienda bila kutumia akili unaweza kusema umependwa

Songíto;3576368 said:
mkuu hilo duka la dawa uliloenda kununua dawa ambapo na yeye alikusindikiza halikuwa lake kweli? isije bashasha zake ilikuwa ni katika mipango ya kukuvuta ukanunue dawa kwenye duka lake tu.... si unajua tena biashara??? lazima uwe mchangamfu... maana mteja ni mfalme
Hapana ile ni hospital pharmacy, is apharmacy that operatesinsidea hospital, yani dawa ni za bure kabisa sitoi hata pesa moja :cool2:
 
Sasa kama nachekewa mara moja baada ya miongo 2, si lazima nijidai japo kidogo?
Kuna mambo magumu kuyapata jamani, hasa umri ukiienda.
Aaaa mbona kila siku nachekewa, afu umri inategemea...wako watu wa umri wangu mpaa leo hawajao, wakati mimi ni baba na sitachukua time taitwa babu, na wengine ndo wanao, afu FYI vi babe vingi vinanitaka mimi ndo na vipiga X sasa usishangae kuona mimi nimeoa na naitwa baba wakati wewe mkubwa kwangu na hujaoa, na unajiona bado umri wako haujafika wakuoa:violin:
 
Hakuna cha ajabu hapo,huyo daktari ni ana mazoea ya kuchangamkia watu tu,usije ukajipa bichwa eti umeshobokewa wala nin.Mbona mie inanitokea sana hyo na nnawapotezea tu!


Umepona wewe kumbe unatibiwa na dr moja na fazaa
 
Watu wengine mna mambo. . .
Mtu akikuchekea ananitaka, akikutania basi anakupenda.

Huwezi ichukulia hiyo hali kama ilivyokua?Kwamba kakuchangamkia na kukutania tu basi bila ya kuanza kutafsiri mambo vile unavyoona inakupendeza/kupa sifa zaidi?


Najaribu kupata picha, kwa mfano; Napata picha alikutana na wewe bila kujua..... aha ha ahha haa ahh
 
ungejaribu kuomba namba ya simu uone litakalokukuta ungejuta kumjua. Watu wengne kero ukinuniwa tabu ukichekewa shida.
 
Inawezekana kabisa kumwona mtu siku moja na kumpenda. Na si ajabu amekupenda kupitia mtoto, kutokana na alivyomwona mtoto wako mzuri ametamani angekuwa na mme kama wewe apate mtoto kama huyo. Au mwonekano wako umemvutia au sema yako, busara yako na vitu kama hivyo amejikuta akivutiwa na wewe. Mbona hiki kitu kinawezekana kabisa. Watu wanakutana kwenye daladala siku moja wanapeana contact na wanakuja kuoana, itakuwa hiyo ya kukutana ofisini?
 
hayo ni mambo ya kawaida tu na huwa yanatokea... pengine charming yako imempendeza au vile upo.......... usijipe kichwa sana....
 
hayo ni mambo ya kawaida tu na huwa yanatokea... pengine charming yako imempendeza au vile upo.......... usijipe kichwa sana....
Yani na mimi navyo penda kujisifia, we wacha tu...nimefikishwa :biggrin1:
 
Kama ni private hospital, she want to make sure next time you will go to same place coz huyo dada atakuwa anagood sense ya kuwasoma wanaume wanaopenda wanawake.

I am sure fazaa you will go again you can't resist that hospitality.
 
Kama ni private hospital, she want to make sure next time you will go to same place coz huyo dada atakuwa anagood sense ya kuwasoma wanaume wanaopenda wanawake.

I am sure fazaa you will go again you can't resist that hospitality.
Absolutely, I will go again and again yani wewe kama umeisha jua vile, akili yangu inawaza nini :cool2:
 
Absolutely, I will go again and again yani wewe kama umeisha jua vile, akili yangu inawaza nini :cool2:

Sasa unajua kama wanawake saa zingine tuko kibusiness zaidi coz kuna we know majority think with whatt is in between the legs.
 
Nini maana ya kupenda, hicho ndo kitu unachotakiwa ukielewe kwanza. Si kila apendaye anamanisha ngono hapo aliamua kuwa wazi tu amekupenda PENGINE JINSI ULIVYOKUWA mengine unakuza wewe angekuhitaji kwa ngono angehitaji mawasiliano zaidi.
 
wengine wamezoea utani tu,labda alikuwa anapeleka muda mbele kwa kujipumzisha lkn sio km ulivyomcchukulia,.
 
Huyu jamaa inaoneka siku akipanda Swiss Air atasema wale mademu wote mule wanaofanya kazi wanampenda, maana utachekewa kuanzia Dar mpaka mnafika Zurich.
 
Back
Top Bottom