Ukienda bila kutumia akili unaweza kusema umependwa

hahahaha! Mi nahisi kaongeza na chumvi kwenye habari. Heee, na wewe mtu akikutabasamia hauwi kama fazaa? Kama unakuwa kama fazaa nipunguze kukuchekea. Lol.

kwangu wewe cheka tu tena jiachie kabisa...maana we ukicheka na mimi huwa nacheka tena sana..huyu fazaa yeye alikuwa mawazo keshayapeleka mbali kweli na ninadhani alikuwa na majibu mafupi mafupi....fazaa bana...we kwani umeona mahali amezungumzia kuombwa namba?..
 
bora umenitoa hofu. Watu kama fazaa ni wa kukimbiwa. Lol.
Ngoja arudi alete ufafanuzi. Angeombwa namba ndio ingekuwa balaa.
 
Kama ulikuwepo Edson, mimi huwa sipatikani kiujinga vile, nilikuwa na mpa majibu ya kifupi fupi tu...mwanamke anichekee basi kisha nipenda!!!

Hebu wambie wasome kichwa cha habari waone nimesema nini, au hawa ni CCM nini...wao wanashambulia tu, yani lazima washinde kwenye kura za uchaguzi :cool2:
 
wanawake hupenda kuwatumia watu
labda alikuwa anakutumia kumrusha roho mtu
au alikuwa in a good mood na wewe ukatumika kum cheer up
 
bora umenitoa hofu. Watu kama fazaa ni wa kukimbiwa. Lol.
Ngoja arudi alete ufafanuzi. Angeombwa namba ndio ingekuwa balaa.
Hebu nipeni point wapi nimesema huyo mwanamke kanipenda?
 
Hapana nilikuwa na uliza swali hapa tazama (Je)...ukisoma kichwa cha thread, nilisha jitoa mbali sana...Ku uliza swali na kusema ni tofouti kabisa.

Umeona kama umekosea step :cool2:
 
swali huwa na alama ya kuuliza (?). Wapi alama ya kuuliza hapo nilipokuquote?
 
Mbona wewe huwa mkaidi hutaki kufahamu, wewe unataka mpaa uwekewe ? ndo unajuwa swali.

sa mimi nakuliza swali bila ya hio ?

Ok here we go....

Je wewe unapenda
 
Back
Top Bottom