Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

Navutiwa na mwanamke ambaye anaambini maisha au familia hujengwa na watu wawili tu kwa maamzi bila kushauriwa wala kufuata tamaa ya fedha,ivo tu

Ni jambo jema

Wanawake wanapenda mwanaume wa aina gani unajua?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanapenda mwanaume mwenye nguvu!! Na sio awe na nguvu za kiume peke yake... hiyo hapana.
 
Tupe namba zao
 
Sasa wanaume wenyewe Wako wangapi. Mbona hiyo 35 inafika haraka kufumba na kufumbua......kukuta 35 demu hajaolewa mbona kawaida maana Yeye hawezi kurukia wanaume tu amalazimishe.
 
Kwa nyakati hizi mtu kuoa ukiwa na miaka 40 siyo tatizo na wala hawezi kukosa mwanamke mwenye sifa nzuri wa kuolewa naye. Sema mtu analzimika kuoa mapema ili kukwepa kuacha watoto yatima au kukosa mtoto wa kumsaidia uzeeni.
Siku hz hakuna formula ya kuacha watoto yatima. Maana vijana wanakufa kuliko wazee. Kufa hakuna formula Unaweza kufa wiki tu baada ya kuzaa mtoto Wako.... Au kama yule jamaa Aliyepoteza familia nzima kwneye kuaga magufuli yule jamaa Ana 50plus. Je asione azae tena maana muda umeenda?? Yote kwa yote ni kuomba uhai na Afya. Baba yangu kanizidi 40 years. Na yupo hai na Ana nguvu kuliko kijana wa miaka 50. Angefuata principles za Sasa nisingekuwepo so muhimu ni kudra na mipango tu.
 
Unayapa material mavijana ya hovyo wakati yenyewe siku hizi sehemu zote hizo yapo bize na smartphone zao na headphones masikioni huo muda wa kumvutia mwanamke wataupata wapi?

Wanachojuwa ni kuchart tu wakati mwanamke anapenda zaidi sound kuliko maandishi.

Mimi enzi hata nikisafiri kwa bus seat siyo muhimu kwangu iko sehemu gani, muhimu mkatisha ticket anipe connection tu ya kunipa double seat na mrembo kama yupo aliyekata.

Jamaa yangu mmoja mpaka leo kala maisha na demu mzungu German tulipanda ndege moja seat tofauti route Singapore, yule mshkaji ule muda wa angani alimaliza kila kitu na demu akampa pocket money USD 300 maana yeye alikuwa anakwenda kucheza ndondo ya basketball halafu pocket money hana.

In short my point watu wengi wanadhani socialize ni mitandaoni kitu ambacho si kweli.
 
Sahihi kabisa,kutoa au kuolewa ni kusudi Maalum!!!kuzaa hata panga wanazaa
 
Kabisa
 
Mademu safarini huwa rahisi sana kuwashawishi kimapenzi sijui kwanini ?

Ukisafiri na mwanamke ukipiga sound kupewa ni asilimia kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…