Kutokana na mgawanyiko wa ndoto,hata kipofu anaota.
Wanabadilishiwa na nani?Ukichaa ni hali ya ubongo kubadilisha au kuwa na frequency tofauti na binadamu wa kawaida. Mfano akili zinaweza kuwa na frequency za mbwa hapo utakuta muhusika anazunguka tu majalalani, ndio maana vichaa hutofautiana kulingana na frequency walizobadolishiwa.
ao wanaozini mara nyingi hubakwa wao au kuchukuliwa maana muda wowote hua wapo majaaniLakini kuna vichaa wanazini na kupata watoto bila kufunga ndoa
Mkuu kipofu anaota audio si video!!Sijawahi kuchunguza hilo na si ndoto tu kuna vitu vingi nahitaji kuvijua kuhusu hao vipofu wa kuzaliwa,ila kama wewe umeshawahi kufuatilia kuhusu ndoto za vipofu basi unaweza ukaeleza ndoto zao huwa kama sisi au vp?