Ukibebwa jishikie

Ukibebwa jishikie

Nije na nani baba mchungaji wangu? maelekezo tafadhali, ooooooooooooooooooooooops! imebidi nipumue kwa nguvu
kwenye fasihi hiki kipengere kinaitwa TAHARUKI/DILEMA. wasomaji wanaghubikwa na hamu ya kutaka kujua kifuatacho. chonde chonde baba mchungaji Achachanda. ruhusu mtumishi mpya azisogeree madhabahu kujipokelea 'muujiza' hahahaaa jf-stress free!!!
 
hahahaahhha, JF ukiwa na msongo wa mawazo basi itabidi uende wazee wa BAKWATA wakuombee kama walivyomuombea RC wetu wa DAR, hahahahah, hapa na kila kitu. mie ninacheka mpaka basi!
 
kwenye fasihi hiki kipengere kinaitwa TAHARUKI/DILEMA. wasomaji wanaghubikwa na hamu ya kutaka kujua kifuatacho. chonde chonde baba mchungaji Achachanda. ruhusu mtumishi mpya azisogeree madhabahu kujipokelea 'muujiza' hahahaaa jf-stress free!!!
Hahaaaaa naona akija peke yake kuombewa, sadaka ya kumuinua mtumishi itakuwa ndogo. Afanye kama alivyofanya dada WISE (Wema Isaac Sepetu). Hakwenda peke yake CHADEMA alikuwa na watu wengi
 
Back
Top Bottom