Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Umenichekesha sana eti huku upareni duuuuuh. Ila ndio hivyo huko mnyama ni rafiki wa binadamuhahahaahaha, na kajishika kweli, ila wazungu bwana! sisi huku upareni ukibeba hivyo si jamii itakushangaa na kukuona umepagwa!! I wish nipate uraia huko kwa Trampoooo
sisi huku Mbwa anatumika labda kuwinda na kufukuza wanyama wanaoharibu mazao mashambani kama tumbili na nyani na ulinzi wa usiku lakini sijawahi kuona amebebwa hivyo hahahahhaUmenichekesha sana eti huku upareni duuuuuh. Ila ndio hivyo huko mnyama ni rafiki wa binadamu
Ni kweli kaka/dadasisi huku Mbwa anatumika labda kuwinda na kufukuza wanyama wanaoharibu mazao mashambani kama tumbili na nyani na ulinzi wa usiku lakini sijawahi kuona amebebwa hivyo hahahahha
Mie ni mwanamkeNi kweli kaka/dada
Oooook na mimi ni mwanauumeMie ni mwanamke
Oooook na mimi ni mwanauume
KifuatachoMie ni mwanamke
hhahahahahah kadagala1, hahahahaha umenichekesha kweli! hahahahahahahaha. Hakuna kifuatacho hapo ndio mwisho wa suala hiliKifuatacho
Hahaha ha haa. Basi sawahhahahahahah kadagala1, hahahahaha umenichekesha kweli! hahahahahahahaha. Hakuna kifuatacho hapo ndio mwisho wa suala hili
tehe tehe uwe na siku njema mwaya kadagala1Hahaha ha haa. Basi sawa
upate uraia utukimbie? thubutuuuhahahaahaha, na kajishika kweli, ila wazungu bwana! sisi huku upareni ukibeba hivyo si jamii itakushangaa na kukuona umepagwa!! I wish nipate uraia huko kwa Trampoooo
Niheme kula mbure na kishumba kadori, hahahahaahhaupate uraia utukimbie? thubutuuu
Itv isidingo the needKifuatacho
uko hai, vashighie venye...Niheme kula mbure na kishumba kadori, hahahahaahha
Yeto ambura na ii teri ya kunu kaa irechosha, kula nisikia lami duuu! tehe tehe teheuko hai, vashighie venye...
tevetuenda avo..keba tuikae aha hetu... kunu hetu twekundane,Yeto ambura na ii teri ya kunu kaa irechosha, kula nisikia lami duuu! tehe tehe tehe