Ukiangalia Tennis unapata vitu adimu

Ukiangalia Tennis unapata vitu adimu

Last edited by a moderator:
Nipo ndugu yangu, vijimambo tu vya hapa na pale vimeniweka busy
Naona ukoo wetu umekua mkubwa sana, salamu sana kwa mshana jr Kibo10 NAPITA utafiti na bysange

Hilo ni jema sana mkuu kama usalama upo wa kutosha
Hao vijana wako huwa wanapita pita huku kuangalia na kuosha macho maana wanajua huku kuna vitu vizuri sana
 
ukimkagua vizurihuko nyuma lazima ukute kajinyea kidogo!
 
Mr Rocky habari za mida hii??? Hili tukio nimeliona ila sijapenda niwe mwa kwanza kusema neno. Nilitaka uthibitishe kuhusu Kibo10


Mkuu utafiti salama kabisa aise
Niko salama kabisa
Nilijua leo hutaki ushahidi ndo maana ukakaa pembeni kuangalia nini kinaendelea ila najua ulikuwa unateseka sana mkuu Kibo10 kashapita hapa kimya kimya na kabanga pia
 
Last edited by a moderator:
ndo vizuri mashabiki jina mtafutika

ha!ha! umenikumbusha Tangazo wakati wa kombe la Dunia yule mbeijing shabiki jina anashangila hata goli alijafungwa kwenye tangazo la coca cola.
 
Mkuu Vin Diesel ndo manake aise ukiwa na stress pitia hili jukwaa aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom