uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,938
- 28,367
Ukiangalia uzito wa Cafcc msimu huu ni kama cafcl maana giants wote wako huku
Hata Azam na Singida nadhani watashiriki makundi baada ya hapo watabaki hapa hapa
Azam yuko kundi B
As Far
Azam
Durban city
Al Ahly tripol
Singida kundi C
As Maniema
Red Arrows
Singida
Hata Azam na Singida nadhani watashiriki makundi baada ya hapo watabaki hapa hapa
Azam yuko kundi B
As Far
Azam
Durban city
Al Ahly tripol
Singida kundi C
As Maniema
Red Arrows
Singida