kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,165
- 18,422
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden
Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera, sio CNN, sio BBC tutamuona akiwa kwenye ziara zake
Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndio maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.