Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,165
18,407
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?

Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera, sio CNN, sio BBC tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndio maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
 
Hapo wanamtongoza ili akubali waweke kambi hapo Kenya. Mzungu ukiona anajifanya anamheshimu kiongozi wa kiafrika jua anawindwa. Umesahau bwana Membe alivyotumiwa farasi maalum wamkokote UK.

Marekani naona anatafuta mahali pa kuweka uwepo wake akapambane na influience ya Warusi na Wachina Afrika.
 
Hajuhi kizungu vzr, Hana CV ya kibabe, amejipa udokta wa mchongo, hapo tu wazungu wakajua hapa kuna kilaza tu, udokta angekuwa amepewa na chuo kama Harvard, sawa!

Sasa unapewa na UD, ambayo mkuu wake unamteua wewe!

Nyerere alikuwa na ma PHD kibao ya heshima, lakini hakujihita Dokta!
 
Hoja yako ni kama jibu tayari unalo. Raisi wa Kenya, Dr william samoe Ruto Phd. Leading a fastest growing economy in east africa, Hub of multinational corps like Kpmg, delloite, EY, Kenya stockmarket inajitangaza, They practice real democracy with newl born constituition.

Mchangonwa kenya kwenye afdb ni mkubwa na wa kiheshimika. Anapeleka askari Haiti kwenda kulinda amani. Sio muigizaji na dalali wa kuuza rasilimali. Sijasema wa kwetu yuko hivyo angalizo.

A man with substance in his head, ukisikiliza speech za ruto utaelewa ana akili kubwa sana na kenya ukiwa kihiyo huwezi kuwa raisi. Hat uhuru ni product ya usa universiyy with honors sio gentleman gpa. Hajaunga unga elimu
 
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa.....Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi...
Tofautisha kuzurula na kiutendaji

ruto,kaenda kikazi mkuu

Sio ndgzetu wanaoenda kuzindua Royal tour ,harafu anataka kukutana na Biden,arudishiwe pesa ya REA

Wakati TBC taifa ingefanya kazi hizo na wamarekani wangeona uzinduzi
 
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa.....Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi...
Mkuu 'Kimsboy', wakati mwingine tuwe tunatumia akili zetu kidogo. Hivi wewe kweli huoni kinachotokea kwenye ziara hiyo?
Unataka uambiwe na nani ndiyo ujuwe kuwa makoloni mapya yanatengenezwa kaarne hii hii tuliyomo!

Sasa unamhimiza na huyu wetu akatutafutie mkoloni, kweli?

Na bahati mbaya tuliyo nayo, kajipitishapitisha lakini wakubwa wakadharau, wakijua heshima tuliyowahi kuwa nayo enzi zilizopita.
Sikiliza, usimhimize sana huyu, sisi wakoloni wetu ni gradi B, toka huko Mashariki ya Kati. Kwa hiyo tulia hapohapo ulipo, utajuwa karibuni wewe mkoloni wako ni nani.

Nasikitika sana kwa nchi hii sasa kuwa na watu wa mawazo ya aina hii yako.
 
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?

Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
DILI
 
Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani

Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)

Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko

20240523_215514.jpg

Screenshot_20240523-220257_X.jpg
 
Back
Top Bottom