Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #121
mbona huo ni umbali mdogo ndugu?
Nalog off
umeipenda ee
Ndio nimeipenda, haya nimejitokeza
Hiroaki Akahoshi utaacha lini hii tabia?
Ndio maana Kwa mara ya pili umefanikiwa kutembea kutokea Mbagala mwisho hadi Mbweni ( masite ) kwasababu ya kupiga chabo!Hiroaki Akahoshi utaacha lini hii tabia?
usisubiri kesho,unaweza kuta washaweka treni.Ivi punde nitaanza kutokea Kibaha hadi Vijibweni
matokeo ya form four ya 2012 kwani yameingia kwenye hicho kitabu?