Ngoja nije huko PM tugawane mali nchi yetu
Uhu hu hu.. Siku ukianza safari unishtue twende pamoja tutaachana chalinze
Utakutan mafunzo yote hayo na kuzunguka kote huko hujawahi ua hata kibaka:A S 39:
Hiroaki Akahoshi
mali za hii nchi mmeshajichukulia
sie tuliobaki tunajaribu jaribu kuona
kama kuna mabaki mabaki tu,
but nchi imeshakuwa ngumu sana hii.
ah ah! Usikubali mema ya nchi yaliwe pasipo na wewe kula, unalazimisha tu kuingia kwenye mfumo wa kula mema ya nchi hata kama wanabana
Lazima tule wote, unafurahia kuona peke yao wakiendesha ma Vogue na Roly royce? Na wakiishi kama wapo Monako? ah ah!
Umesema nakudanganya?? 1988-1994 nilikuwa nje.
St. Paka Mweusi hatu kutishi. Unakumbuka vita vya kagera? Na nimeshawai kutembea kutoka Dar hadi Musoma kwa taarifa yako.
Sikushangai kwa muda huu kuongea matobo ni haki yako maana najua utakuwa unaota na unaona Tanga -Zenj ni kama Kimara-Posta:tape2:Wote hamjatembea,nimetembea kutoka TANGA hadi ZANZIBAR kwa miguu watu naona mnacheza tu.
Sikushangai kwa muda huu kuongea matobo ni haki yako maana najua utakuwa unaota na unaona Tanga -Zenj ni kama Kimara-Posta:tape2:
Copy kwa Bishanga
Hahahahaaa kwani unatumia nini kutembea?
Wakati unatembea na Bishanga ulikuwa unatembeaje?
Ulitumia nini kutembea nae?
Hahahahaaahormonal change
Hahahahaaa
Halafu nimemmiss mzungu aisee
Vipi hajambo?
Hebi ni PM tuongee kodogo aisee
mmmh mbona cjakuona kwenye kitabu cha 'guiness'
Wote hamjatembea,nimetembea kutoka TANGA hadi ZANZIBAR kwa miguu watu naona mnacheza tu.
mh! zis iz kama uongo vile? Juu ya water ulitambaaje