Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Niliwahi kabidhiwa kadi za bank….Ila nikikumbuka naliaaaaa 😂😂😂😂🤣🤣🤣Hakupendwa aelewe hilo, tukipenda huwa tunakua watulivu.
Niliwahi kabidhiwa kadi za bank….Ila nikikumbuka naliaaaaa 😂😂😂😂🤣🤣🤣
Nyie viumbe hamna jema bhn hata mseme nn 😏Hakupendwa aelewe hilo, tukipenda huwa tunakua watulivu.
Tutajuaje kama mmependa??Hakupendwa aelewe hilo, tukipenda huwa tunakua watulivu.
sema kweli ma parokwo, nina fungu lako. Usiniulize fungu gani hata la nyanya ni fungu 😂Hakupendwa aelewe hilo, tukipenda huwa tunakua watulivu.
Sio mbaya kwasiku tu inamtosha😂Kwa asilimia 2 ya kipato changu naona huyu demu atakula 7,500/= hii itafaa wakuu?
Hatujajua nwaka ila sidhan kwamba amazingumzia hawa waleo hiiWanawake wa sk hiz wanamatatizp gani
Hakupendwa aelewe hilo, tukipenda huwa tunakua watuliv