Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,396
Khalas 😂sema niki penda sijui huwa nina kuwaje kudadadeki
Khalas 😂sema niki penda sijui huwa nina kuwaje kudadadeki
Sawa 😂ukweli lazima usemwe 😂🦅
Unakuhusu wewe mzee wa kibunda kimejaaa🤣🤣🤣
N koreaKhalas 😂
Endelea kuwabeba mpaka wakupe tuzo.Tuna uzoefu usio na shaka😂
Nenda kule korea uone😂🦅Unakuhusu wewe mzee wa kibunda kimejaaa🤣🤣🤣
Hakimi alilijua hili mapeeeema kabisa“Nilipopata dola milioni moja kwa mara ya kwanza kupitia muziki wangu nilikuwa na furaha sana na nikasema acha niitumie haraka. Kitu cha kwanza nikanunua studio kwa ajili ya kurekodi ngoma za wanamuziki wengine na zangu endapo tu nitakuwa sina kitu.
“Nilitumia dola laki mbili na nusu kwenye hiyo studio kwa ajili ya kununua vifaa vyake. Nikampa mama yangu dola laki moja na nusu, pia baba yangu dola laki moja na nusu. Na nikawapa kaka zangu dola elfu ishirini na tano kila mmoja ili wafanyie biashara zao.
“Demu wangu alipojua hayo, ikabidi anifuate na kuniomba dola laki mbili. Nikajikuta nacheka tu na kumpa dola elfu tano kwa sababu siwezi kumpa mwanamke zaidi ya asilimia mbili ya kile nilichokiingiza. Akaamua kuniacha, wala sikuhuzunika kwa kuwa niligundua alihitaji pesa zangu zaidi kuliko kunipenda mimi.
“Ukweli ni kwamba, kama unataka kuwa tajiri, inabidi uwe mkali sana kifedha na hawa wanawake wa kisasa.”
AKON.View attachment 3413210
Sasa kibunda kujaa kinahusika vipi na mada, unaacha kumsema Rais wako anavyohangaika na Cammila unanisema mimi 😂Unakuhusu wewe mzee wa kibunda kimejaaa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Sasa kibunda kujaa kinahusika vipi na mada, unaacha kumsema Rais wako anavyohangaika na Cammila unanisema mimi 😂
Dah kudadadeki , Cammilla ona haya 😂😂Sasa kibunda kujaa kinahusika vipi na mada, unaacha kumsema Rais wako anavyohangaika na Cammila unanisema mimi 😂
Kama tunajikata vidole kwenye kubeba zege, why not tuzo. Nzi kufika kidondani sio shida.Endelea kuwabeba mpaka wakupe tuzo.
Umeamua kumuita kabisa 😂Dah kudadadeki , Cammilla ona haya 😂😂
Kasikize wimbo wa Ferooz ft juma nature wa “boss” utanielewa mkuu 😂Ilikuwaje?