Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

  • CCM

    Votes: 36 76.6%
  • CHADEMA

    Votes: 6 12.8%
  • CUF

    Votes: 5 10.6%
  • NCCR MAGEUZI

    Votes: 0 0.0%
  • TLP

    Votes: 0 0.0%
  • UDP

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    47
  • Poll closed .
.............Sina imani na vyama vifuatavyo

  1. Chama cha mafisadi aka CCM
  2. NCCR manunuzi aka mageuzi
  3. CCM B aka CUF
 
Sina imani na viongozi wa vyama vyote vya siasa...! Maana wanavyo fanya si hasa hasa.
 
mkuu ni kweli nimeambiwa maana yake hapa hata mimi nimeshangaa yaani sisi sijui nini yetu piga bun huyu!

Aisee kumbe ndio hivyo eeh??
Ebwana "Kisaa Kyafo" mwenyewe na aliyekutuma..... anajulikana!
 
Wana JF nimevutiwa sana hiyo thread. Nadhani utafiti wao utasaidia kuweka ushahidi mwingine wa wizi wa kura wa chama kinachoongoza kwa kuonekana kuwa wanaJF hawana imani nacho. kuna rafiki wa FB alinitumia link hii inafanana sana na hii hapa huenda walionzisha hiyo thread watakuwa wanafahamiana au ni wamoja!


 
chama cha wahuni, waiba wake za watu, chama cha kususa na kuandamana
Nimeamini maneno ya biblia kuwa,"rushwa ikizidi huondoa maarifa." wewe inaonekana unanufaika na hali ya rushwa na uoza wa serikali, kwa hiyo umeishiwa maarifa.tunakuombea kwa mungu,
 
Wadau wote wa JF ukiambiwa upige kura ya kutokuwa na imani ungeweza kupigia kura chama gani??Na je Nanikiongozi gani huna imani naye kati ya hivyo vyama???

Mkuu
Usiwakumbushe watanzania machungu.
CCM HAKIFAI KABISA HATA KUONGOZA KIJIJI.
Kwa kiongozi kuna huyu kiongozi hata watoto wakimwona wanaogopa. Mwanangu alimwona kwenye TV akalia usiku kucha.
 
Ndugu mwanaJF unaetumia jina hili nakusihi ulibadilishe. Kwa wale wasio fahamu jina alilotumia huyu mwenzetu ni matusi ya nguoni kwa kabila la wenzetu wachagga. I am very shocked kwa kweli!!!. Mods naomba umfute huyu arudi na ID nyingine maana huku ni kuivunjia heshma forum hii. Tafadhali sana Mods futeni hii ID.

yaap ni tusi kubwa tu kwa kiluga cha wenzetu kama u mstaarabu tumia jina la kistaarabu matusi ya nni!
 
chadema... chama cha wahuni.. kisichokuwa na dira.. maandamano kila kukicha as if kule majimboni maandamano ndiyo ilikuwa sera yao
 
me cdm sina imani nao,chama cha wahun___.

Hivi uhuni kwako una maanisha kitu gani? Ila ni mawazo yako maana cjui wewe ni nani, mimi nccr, cuf,udp! Bora hata ccm! But cdm wako juu kama hawatabadilika. Kiongozi simkubali kikwete na lipumb....! Bila kusahau mbatia! Cheyo ni wa kuhurumia tu maana njaa inauma na umri umekata! Cheki akiongea anavyo-vibrate sauti kama mwimbaji wa Gospel, utafikiri mywa gongo bwana!
 
Chama cha mangu******
300px-roasted_pig_istock.jpg

Wewe Speaker wewe ! Huwa unanifurahisha sana kwa haya makitimoto yako! Wewe vyako vitendo zaidi، ila bwana bi Kiroboto analitia unajisi jina la Speaker! Ashindwe na kulegea
 
Bora anaeiba wake za watu ni wakomavu, kuliko anayetembea na wanafunzi sawa na watoto wake wa kuwazaa!

Wewe unaibiwa mke unatamba! Hakuna mtu aliyeiba mke wa mtu, ni makubaliano tu kama na wengine wetu tulivyofanya! Wewe una hakika mke uliyenaye ni wako? Umemuanza wewe au mmekutana tu wakubwa? Jibu unalo kama umemkuta ametumika huyo umepora ndg! Omba tu Mungu akuhalalishie، dunia ya sasa ni wachache wako na wake zao hat wa jamaa yetu mmoja mbona nasikia alitumika mahali ikawa bifu la hatari?
 
Hawa jamaa washajiita nyoka sasa unategemea nini kama sio kungatwa? kujivua magamba ni wao kujihuisha upya lakini watakachokifanya ni kilekile. ni mpaka hapo tutakapoona mabadiliko kiutendaji then tutajua kweli wanamaanisha wanachodai lakini si kabla ya hapo.
 
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom