Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

  • CCM

    Votes: 36 76.6%
  • CHADEMA

    Votes: 6 12.8%
  • CUF

    Votes: 5 10.6%
  • NCCR MAGEUZI

    Votes: 0 0.0%
  • TLP

    Votes: 0 0.0%
  • UDP

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    47
  • Poll closed .
maana ya =KISAA KYAFO...****** YAKO

Hii ndo tafsiri ya Lugha ya wachagga niliyopata hapa kwa babu wa machame sasa hivi kama mnabisha njooni machame hotel mtanikuta
 
Ndugu mwanaJF unaetumia jina hili nakusihi ulibadilishe. Kwa wale wasio fahamu jina alilotumia huyu mwenzetu ni matusi ya nguoni kwa kabila la wenzetu wachagga. I am very shocked kwa kweli!!!. Mods naomba umfute huyu arudi na ID nyingine maana huku ni kuivunjia heshma forum hii. Tafadhali sana Mods futeni hii ID.

Manaa ya kisaa kyafo ni ****** yako kwa lugha ya kichaga so naungana na wewe kuwa abadilisha hilo jina plse!
 
sinsa imani a CCM,, imeniahidi mengi.imeshindwa kuyatekeleza na bado inazidi kuniahidi,
SIIIIIIPEND CCM
 
Sina imani na CCM kwakua niwaongo na tena niwaizi wakuchakachua kura! Halafu chama kingine ni kile cha yule jamaa anayevaa kofia nyukundu (Baret) UPDP anaaitwa sijui Devota au Dovutwa wakati anaomba kura alisema akichaguliwa atafungua kiwanda cha silaha mtu hatari sana huyu ni wakuogopwa kuliko hata ukimwi au ukoma!
Ha ha haaa. Kumbe huyu kibaraka alisema hivyo? Pamoja na kuwa simpendi huyu mtu lakini kwa hili namuunga mkono! Afadhali mwenye mawazo ya kutengeneza mwenyewe kuliko kununua na 10% juu! Hili wazo yafaa lifanyiwe kazi ili Tanganyika tuwe na mkwara kama North Korea.... Ha ha haaaa!
 
Sina imani na:

Chukua Chako Mapema,
Chama Cha Majambazi,
Chama Cha Mafisadi
Chama Cha Magamba...................!!!!!!!
 
Wadau wote wa JF ukiambiwa upige kura ya kutokuwa na imani ungeweza kupigia kura chama gani??
Vyama vyote va siasa vilivyoko sasa nikikusudia CCM, CDM, CUF,NCCR, TLP, UDP, NGALAWA zote mbili na nyenginezo. Chama pekee ninacho imani nacho ni Afro Shirazi Party.
 
Mi mwenyewe mchaga, mara ya kwanza kuiona hiyo ID nlsh2ka nkajiulza hv huyu anayei2mia akil zake ni timam kwel? Mda unavyozid kwenda nagundua ni wale wale mazuzu wa CCM. M2 na akil zako huwez 2mia ID kama hiyo hata kama wenzako hawajui maana yake!
Ndugu mwanaJF unaetumia jina hili nakusihi ulibadilishe. Kwa wale wasio fahamu jina alilotumia huyu mwenzetu ni matusi ya nguoni kwa kabila la wenzetu wachagga. I am very shocked kwa kweli!!!. Mods naomba umfute huyu arudi na ID nyingine maana huku ni kuivunjia heshma forum hii. Tafadhali sana Mods futeni hii ID.
 
Back
Top Bottom