Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 19, 2011.

?

Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

Poll closed May 10, 2011.
 1. CCM

  36 vote(s)
  76.6%
 2. CHADEMA

  6 vote(s)
  12.8%
 3. CUF

  5 vote(s)
  10.6%
 4. NCCR MAGEUZI

  0 vote(s)
  0.0%
 5. TLP

  0 vote(s)
  0.0%
 6. UDP

  0 vote(s)
  0.0%
 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Wadau wote wa JF ukiambiwa upige kura ya kutokuwa na imani ungeweza kupigia kura chama gani??Na je Nanikiongozi gani huna imani naye kati ya hivyo vyama???
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  sina imani na chama cha magamba!
   
 3. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania ina vyama kama 18,Cta tu sina imani navyo ni Ccm,Cuf,Nccr,Tlp,Udp,Updp,
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Cha magamba
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ccm, cuf, tlp nccr mageuzi, na kile cha Cheyo cjui knaitwaje.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hakijafikia Ccm kwa uhuni. Tena hapa cdm unawasingzia.
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Dah!!!ahaaaaaaaa!!ya leo kali nilikuwa sitegemei kucheka kutokana na mzingira niliyopo!!!Vivi JF!!
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kuna kile chama sijui kinaitwaje ila mwenyekiti wake ni FAHAMU DEVYUTWA! SIJUI DEVOTA!
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  chama cha wahuni, waiba wake za watu, chama cha kususa na kuandamana
   
 10. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  CCM,ikifuatiwa na CUF halafu NCCR halafu UDP. Vingine ni vile vikundi vidogo vidogo kama vya Mobutu sseseseko wa zaire enzi zake - alikua navyo kibaoo mzee.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ndugu mwanaJF unaetumia jina hili nakusihi ulibadilishe. Kwa wale wasio fahamu jina alilotumia huyu mwenzetu ni matusi ya nguoni kwa kabila la wenzetu wachagga. I am very shocked kwa kweli!!!. Mods naomba umfute huyu arudi na ID nyingine maana huku ni kuivunjia heshma forum hii. Tafadhali sana Mods futeni hii ID.
   
 12. b

  bi kilembwe Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kilichoko madarakani kwa Bara na vilivyoko madarakani kwa Zanzibar. Una lingine?
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu ni kweli nimeambiwa maana yake hapa hata mimi nimeshangaa yaani sisi sijui nini yetu piga bun huyu!
   
 14. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama Cha Makamasi
   
 15. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Sina imani na CCM kwakua niwaongo na tena niwaizi wakuchakachua kura! Halafu chama kingine ni kile cha yule jamaa anayevaa kofia nyukundu (Baret) UPDP anaaitwa sijui Devota au Dovutwa wakati anaomba kura alisema akichaguliwa atafungua kiwanda cha silaha mtu hatari sana huyu ni wakuogopwa kuliko hata ukimwi au ukoma!
   
 16. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama cha demokaya na mabavu - a.k.a chadema
   
 17. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Chama Cha Misukule
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chama cha mangu****** [​IMG]
   
 19. g

  gkalunde Senior Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama Cha Majangili ya lasilimali za WATZED
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Inabidi ianzishwe kura kwa vyama vinavyochukiwa zaidi
  mimi nachukia zaidi - Chukua Chako Mapema, CUF, UPDP, NCCR MAGEUZI na TLP
   
Loading...