Ukiachwa fujo za nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiachwa fujo za nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Jan 5, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Leo katika pita pita zangu K/koo nikagongana na binti mmoja ambae nilikuwa nammega 3yrs ago nilimwacha baada ya kuona level tofauti lakini yeye alining'ang'ania sana twendelee. Leo hii uso kwa uso nae akanifanyia fujo na matusi juu jamani mtu ukiachwa au kuachika ni lazima umfanyie mwenzio vitimbi? Amenifedhuri kweli wapwazi
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  nashukuru umenielewa level ninayoizungumzia.....Fidel una warembo wangapi hapo mjini jamani?...inategemea ulimuachaje, labda ulimtapeli kimawazo na ahadi kemkem then unakuja kumwaga tu, ndio level hizo mstaarabu akimwagwa anajimwaga tu lyfe linaendelea....pole mwayego.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Hebu niPM contacts zake nikusaidie kutatua matatizo! Si yuko ki ElizaEliza? au ki MatronMatron? Haijalishi lakini, we nitumie tu!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe Nyamayao bana si unajua target yangu ni 2012 naweka mwali ndani sasa ndo hivyo huyu ni wa level tofauti na yangu.... unajua mm ni mkweli na muwazi mno ndo maana warembo wengine dhamira inawasuta na kuamua kuyoyoma kusikojulikana, mm kama mrembo wa kumchumbia namwambia uwazi kama ni wa kumega vile vile nampa uwazi kuwa wewe nichune lakini sikuoi ng'o.
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mpwa inaelekea ulimdanganya sana huyo dada na ahadi tele na yeye akawa na expections, sasa ulivomtosa aliumia sana na anakuchukia so she is tryn to empty the anger frm her heart...pole yake!!!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh mpwa unapenda kuachwa kwa Sadara balaa....huyu sio portable huyo wide loaded huwezi ngoma hiyo ndo maana nilichapa mwendo.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Nadhani bht atakuwa amepata picha halisi hapa! Haya bana, tuendelee!
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe mambo ya Bonge nyanya hayo mpwa
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Matron cha mtoto siyo? Tukutuku haipandiki?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha cha mtoto akipanda tuktuk pancha hapo hapo
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaaaa lol!!!!!!! mmeniua kabisaaaa and am outa here!!!!!!!
   
Loading...