Kama unampenda kuchinja na kunyonga vyote vinaleta maumivu.Inauma sana..
Ni heri akufuate live aeleze msimamo wako kuliko kukuacha kwa style hiyo
Unabaki kwenye sintofahamu, unaweweseka, maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unampenda kuchinja na kunyonga vyote vinaleta maumivu.
Sky hata uwe kwenye ndoa miaka 20. Unatakiwa uwe umejiandaa for any thing. It hurts insteadUnekaa nae zaidi ya miaka mitatu mpka umesahau dating game ukijijua uko kwenye stable relationship.
Du ni ngumu sanaSky hata uwe kwenye ndoa miaka 20. Unatakiwa uwe umejiandaa for any thing. It hurts instead
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat vip jamaa kaishia auNi ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa baraka, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.
Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu za kuchukua hatua hiyo.
Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena kwake.
Tayari ushajihesabu mama mwenye nyumba tehUmekaa nae zaidi ya miaka mitatu mpka umesahau dating games ukijijua uko kwenye stable relationship.
Kwa hiyo umekubaliana na maamuzi yakeKi utu uzima