Nakumbuka uwepo wa sister wangu na washakaji kadhaa hivi, Pale meza ndefu (Baa) tulifanikiwa kuuzima kimya kimya mtiti wa mtu na mkewe! Lile goma ilikuwa si mchezo, mdada amepiga bia zake tatu hivi huku kabebelea mtoto wake mdogo wa miezi kama 3 hivi, Jamaa na washkaji zake Meza moja na mkewe! Hatukujua ugomvi wao ulianzia wapi, ila Ugomvi ulizimwa kiutu uzima sana.
Na yeye anajua hana ticket ya kurudi. Mtu hawezi kufanya mambo ya kizwazwa namna hiyo alafu awe na wazo la kurudi humo ndani. Halafu wakati anafanya hayo yote mwenye nyumba alikuwa wapi? Huyo mwanaume atakuwa kaka yetu hapa Dar