Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
mi bado mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom