Ukiacha TTCL, kampuni ipi nyingine ina huduma nafuu?

Ukiacha TTCL, kampuni ipi nyingine ina huduma nafuu?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Ndio, mie natumie sana TTCL ila nilikuwa na Airtel na Vodacom kwa miaka mingi tu. Leo naona hawa jamaa wamezigawa 'lines' zangu kwa watu wengine huku nilizisajiri kwa NIDA.

Ukweli nilikuwa sizitumii hii ni kwa sababu ya bughudha ya jumbe zao za mara kwa mara mpaka kupelekea simu kujaa, nikaona isiwe taabu hivo nitaziweka pembeni.

Jana nikaona nizifungue, duh, hazisomeki, hivyo mwenyeufahamu wa kampuni nyengine nzuri kwa huduma na unafuu anijuze.
 
DK : Unaweka buku kwa wiki 150 + 150 = 300dk SMS : 1000 kwa mwezi 10,000 na 2,000 kwa 20,000
MB : Hakuna mtandao wenye bando nafuu za internet ni km wameambiana labda utumie VPN utaweza kutumia internet bure.
 
Baki hukohuko huku kwengine utaangukia pua ufe ufariki tukuite marehemu.

Lakini wakati naandika hii komenti nimesikia kasauti kwa ndani kananiambia "tafuta hela hakuna mtandao wenye gharama za bando,labda wenye stable network tu!"[emoji28]
Yeah, hapo kwenye "stable network' mkuu.
 
DK : Unaweka buku kwa wiki 150 + 150 = 300dk SMS : 1000 kwa mwezi 10,000 na 2,000 kwa 20,000
MB : Hakuna mtandao wenye bando nafuu za internet ni km wameambiana labda utumie VPN utaweza kutumia internet bure.
VPN tumeamuriwa na wakubwa be kujisajiri mkuu au wamebadiri?
 
VPN tumeamuriwa na wakubwa be kujisajiri mkuu au wamebadiri?
Ujisajiri kwa ajili ya VPN? Watengeneze wengine app halafu ukajisajiri TCRA. Watengeneze yao bure ili mtu akitaka kutumia ajisajiri.
Hao TCRA hawana kazi za kufanya, bando zinapanda kila siku lakini wapo kimya.
Wana mchango gani kwa taifa hili?
Hao TCRA hata kuwashauri BOT waruhusu paypal kupokea hela wameshidwa halafu ujisajiri ili iweje?
 
Ndio, mie natumie sana TTCL ila nilikuwa na Airtel na Vodacom kwa miaka mingi tu. Leo naona hawa jamaa wamezigawa 'lines' zangu kwa watu wengine huku nilizisajiri kwa NIDA.

Ukweli nilikuwa sizitumii hii ni kwa sababu ya bughudha ya jumbe zao za mara kwa mara mpaka kupelekea simu kujaa, nikaona isiwe taabu hivo nitaziweka pembeni.

Jana nikaona nizifungue, duh, hazisomeki, hivyo mwenyeufahamu wa kampuni nyengine nzuri kwa huduma na unafuu anijuze.
Nimegundua ubora wa hii mitandao unategemea mahali mtu alipo, kuna sehemu TTCL wapo ila lazima ujibanze karibu na mnara wao ndiyo upate spidi nzuri, kuna sehemu kama ni mji walipo wakubwa spidi ni nzuri mpaka unatamani wapunguze
 
Ndio, mie natumie sana TTCL ila nilikuwa na Airtel na Vodacom kwa miaka mingi tu. Leo naona hawa jamaa wamezigawa 'lines' zangu kwa watu wengine huku nilizisajiri kwa NIDA.

Ukweli nilikuwa sizitumii hii ni kwa sababu ya bughudha ya jumbe zao za mara kwa mara mpaka kupelekea simu kujaa, nikaona isiwe taabu hivo nitaziweka pembeni.

Jana nikaona nizifungue, duh, hazisomeki, hivyo mwenyeufahamu wa kampuni nyengine nzuri kwa huduma na unafuu anijuze.

vifurushi vya bei ya kitonga vipoooooooo kwa vodacom airtel na Halotel Tigo bado kuna namna inasubiliwa
IMG_6507.jpg

IMG_6508.jpg

vodacom hvo [emoji115][emoji115][emoji3595] ubaya kuna mtu alichoma twitter vodacom wamezuia kwahyo wenye navo tayar tunavo ila kesho j3 wamesema wata angalia possibility kama upenyo utapatikana
IMG_6516.jpg

vodacom hicho [emoji3595][emoji115][emoji115] hiko kifurushi ni unlimited mwez mzima 50k ukijiunga unapewa 24GB za kasi zikiisha unapewa 200kb/s -300kb/s had mwez unaisha unlimited
IMG_6510.jpg

IMG_6511.jpg

Airtel hko kama unavokiona[emoji115][emoji3595][emoji3595]

b3cf5b33-de1f-45af-a9a4-9385eba06888.jpg

Halotel mwez[emoji115][emoji115][emoji115][emoji3595]
27924d93-18bc-4fa4-9f64-57df1cd67c3b.jpg

Halotel kifurush cha miez 6
37c6d49f-a4e5-4b67-bb25-63d588b8bb6e.jpg

Menu ya halotel
014fe8d6-17ee-4c77-a80d-af2780b2a712.jpg

Halotel mwaka mzima

NB hvo vifurush vya Halotel ni vinapatikana kwenye lain special hzo lain zina namba 12 hazipigi sim haztumi sms wala hazpokei sim ni internet tuuu na halopesa usijiroge kwenye shop kuulzia hv vifurush vodacom kuna mtu alichoma waka block acess
IMG_6495.png

na airtel pia kuna mtu alichoma wakaulza hyo lain umepata wap ila lain zipo na tuna enjoy wame block acces voda tu ila tulio ungwa vifurush na menu zipo
IMG_6504.png
 
vifurushi vya bei ya kitonga vipoooooooo kwa vodacom airtel na Halotel Tigo bado kuna namna inasubiliwa
View attachment 2819341
View attachment 2819342
vodacom hvo [emoji115][emoji115][emoji3595] ubaya kuna mtu alichoma twitter vodacom wamezuia kwahyo wenye navo tayar tunavo ila kesho j3 wamesema wata angalia possibility kama upenyo utapatikana View attachment 2819343
vodacom hicho [emoji3595][emoji115][emoji115] hiko kifurushi ni unlimited mwez mzima 50k ukijiunga unapewa 24GB za kasi zikiisha unapewa 200kb/s -300kb/s had mwez unaisha unlimited
View attachment 2819344
View attachment 2819345
Airtel hko kama unavokiona[emoji115][emoji3595][emoji3595]

View attachment 2819346
Halotel mwez[emoji115][emoji115][emoji115][emoji3595]
View attachment 2819347
Halotel kifurush cha miez 6
View attachment 2819348
Menu ya halotel
View attachment 2819349
Halotel mwaka mzima

NB hvo vifurush vya Halotel ni vinapatikana kwenye lain special hzo lain zina namba 12 hazipigi sim haztumi sms wala hazpokei sim ni internet tuuu na halopesa usijiroge kwenye shop kuulzia hv vifurush vodacom kuna mtu alichoma waka block acess View attachment 2819350
na airtel pia kuna mtu alichoma wakaulza hyo lain umepata wap ila lain zipo na tuna enjoy wame block acces voda tu ila tulio ungwa vifurush na menu zipo View attachment 2819351
Nilicho jifunza ukipata nafuu/Tundu ni kupiga kimya, Tu.
 
Jacobus unetumwa au umeagizwa?
Mtandao haupatikani hata kibaha unatuambia kitu gani? Hata walioko Bunju hawaupati.
 
Vocha za TTCL ni mtihani kuzipata, ttcl pesa nayo ni changamoto kuipata
 
DK : Unaweka buku kwa wiki 150 + 150 = 300dk SMS : 1000 kwa mwezi 10,000 na 2,000 kwa 20,000
MB : Hakuna mtandao wenye bando nafuu za internet ni km wameambiana labda utumie VPN utaweza kutumia internet bure.
Unatumiaje Bure Kwa VPN!!?
 
Back
Top Bottom