Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

Tufanyaje?

  • UDOM iwe University of Tanganyika/Tanzania.

  • UDSM iwe University of Tanganyika/Tanzania.

  • Tupate chuo kengine tofauti ndo kiitwe hivyo.

  • OUT - Kibadilishwe kutoka kuwa chuo huria kibakie kuwa University of Tanzania.

  • UDSM & UDOM viunganishwe kuwa University of Tanganyika/Tanzania

Results are only viewable after voting.
Wewe ni CCM bro eeh?
Kudadadeki. Never kaka never. Hakuna CCM anayetambua uwepo wa Tanganyika. Mimi upinzani, yaani ni mpinzani tuu nature yangu hata kama wakachukua serikali watu wengine nitakuwa mpinzani tuu 😂😂. Sababu naamini bila upinzani hakuna Demokrasia.
 
Sawa bro ila unamawazo ya kikaburu CCM bro. I mean Unamawazo kama ya Babu tale.
 
Back
Top Bottom