Nimefika hapa Tarime tarehe 19 mwezi huu nimetembelea vijiji vingi nimekutana na wasichana makundi kwa makundi wamekeketwa wengine wakitoka kukeketwa cha kushangaza wanapita kwenye vituo vya polisi bila kufanywa chochote, nimejaribu kuongea na baadhi ya wasichana waliokeketwa.
Wanadai bila kukeketwa hawawezi kuolewa. Hivi serikali ipo likizo kwanini imeshindwa kuzuia udhalilishaji huu kwa watoto wa kike.
Hana adabu kapisa SINGIDA,SAME,MANYARA,Na kwingineko haoni anangangania Tarime tuuu
Duug yani wanawatoa utamu wooote. Jamni ile sindiyo antena yenyewe??? Uuwii yani mie nikiguswa tu pale kwisha habari.
Tar 20 nadhan ndo ilikuwa hitimisho la sherehe hizo maana hata mi ndo nilikuwa naingia Tarime na nikawa nakutana na makundi ya watu wanaofikia hadi 50 and more eti wanasherehekea huo unyama huku wakiserebuka mziki wa asili ritungu
Unyama ni yale mnayofanyiana mkoa kwenu. Tofauti ya Tarime na kwenu ni kwamba tukisema No au YES huwa hamna maana tofauti. Mbona huwasemi Wazungu na operation za Vaginal revitalization? Kipi unyama? Mnawaogopa wazungu kwa vile ndio wanawapa pesa mdhalilishe mkoa wa Mara?

Tatizo kakodolea macho TARIME na wakati zipo sehemu nyingi,au kwa sababu ndio kitovu cha ghecha ghecha?Muraa!!
Na huwezi kuona FGM ndani ya kijiji kimoja amma viwili wewe ukakurupuka na TARIME amma MARA.Mbona Manyara,MOSHI mpo kimy
Mshenzi wewe kwani sehemu nyingine huoni mpaka utaje Mara tu?! Ngoja wiki ijayo nikapeleke kabinti kangu wakakatahiri muraa aacha we mropokaji