Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

acha ujinga, shughulikia tatizo sio kukimbia.
Wahenga walisema..... wonders shall never cease..!!! Wewe lazima kipindi cha mtihani shule, Section C unaambiwa fanya maswali mawili kati ya matano wewe unafanya yote...Si hali ya kawaida ni ugonjwa jina lake unaitwa KUKURUPUKA....relax na usome tena uzi kwa utulivu na amani.
 
Kama wewe hupollute fanya kuniPM, kama unapollute acha! #wanajf_ntaleta_feedback_kama white girl ana fungus au la!

Yaaan njooo na ugali kabisa usije na mboga, mboga ni K yangu tosha we kazi yako kumega tonge na kuchovya K tu nakwambia utaisahau jf kama ulikuwagemo , wengine k zetu kama super glue ukiishika tu umenasa mpaka waje wakutoe sijui lini. utakuja uwasimulie humu ndani

Angalizo
Ole wako pm yangu ijae utanitambua kama mimi ni white or black girl!!!
 
Last edited by a moderator:


Kwa kweli mapenzi ni sumu ya kila kinyaa hapa duniani. Yaani pamoja na kunuka kote huku mtu akishikwa na shahuku tu ule uvundo wa papuchi anauona kama vile perfume na kuingia chumvini kama hana akili timamu.
 
Kwa kweli mapenzi ni sumu ya kila kinyaa hapa duniani. Yaani pamoja na kunuka kote huku mtu akishikwa na shahuku tu ule uvundo wa papuchi anauona kama vile perfume na kuingia chumvini kama hana akili timamu.

We acha wanaume huwa wana kazi sana,unadhani wanaume wengine hujali hilo,tena wengine utakuta demu akipanua k harufu itakayotoka humo utafikiri choo kinazibuliwa unaweza kuzimiaaaa
Polen sana hata nyie baadhi yenu ni kibokoo
 
jiandae sasa ivi anasema "you"
by the way, since u seem more like an expert in this, say something about "pre-menstrual thrush" plz
hahaha! namsubiria mkuu. kuhusu pre-menstrual thrush, watalaam wanasema mtu kama ana vaginal candidiasis huwa ina worsen sana kabla ya mentrual. kwa hiyo ute unaweza usionekane siku nyingine lakini ukaonekana kabla ya hedhi
 
Kaka, kama ni iyo fishy smell tumia dawa simple sana, mwambie uyo bi dada ale mananasi kwa wingi , me pia had the same problem nanasi liliondoa tatizo kwa shemeji yako.
nanasi mkuu sijawahi sikia ila nimesikia ukinywa juisi ya cranniberies inasaidia sana kwenye UTI. sasa kibongobongo sijui inapatikana wapi. pia unywaji wa yogurt zenye bacteria wa lactobacillus inasaidia kutibu fangasi za candida (bacteria hula fangasi)
 
wale wale......kina mulugo
Mpeleke hospitali
idiot,mana c ajabu we ndo umemwambukiza,wanaume responsible walitupeleka
na wakagharamia,aftr tht wakaendelea kula mzgo kw afya tele
 
unaweza ukawa unatembea na maiti.chunguza.napita tu harufu ikiisha ntarudi.
 
hahaha! namsubiria mkuu.
kuhusu pre-menstrual thrush, watalaam wanasema mtu kama ana vaginal
candidiasis huwa ina worsen sana kabla ya mentrual. kwa hiyo ute unaweza
usionekane siku nyingine lakini ukaonekana kabla ya hedhi

#true
but obviously kuna pre menstrual discharge in normal cases, so how can u differentiate it from the one caused by the candida
 
Swali kwa wanawake!
Ivi ile harufu ya panya alieoza huwa mnaipata na nyie?!
 

Iyo dawa nilipewa na kikongwe mmoja na ilisaidia sana 100% ndugu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…