UKAWA yasambaratika Arusha, CCM washangilia

UKAWA yasambaratika Arusha, CCM washangilia



Wakiandika kwenye gazeti ndo Mnaamini. Subirini magazeti ya kuanzia kesho uone watakavyo attach hadi barua. Unafikiri ni vizuri kutetea maovu? Nini kiliwafanya msisimamishe mgombea mmoja Serikali za mitaa na nini unapinga leo?
Kamanda funguka kidogo.
 
figganigga kungekuwa na hoja ya kujadili kama cuf wangeachia jimbo hilo Kisiwani Pemba!
Lakini jimbo la Kikwajuni waliloliacha hata wao wenyewe haajawahi kupata hata kura 100 tu.
Kimsingi hoja yako ina makengeza kwakua hukufanya vizuri homework yako ili uwe well informed!
 
Last edited by a moderator:
[/color]
naona vijembe vimeanza ila jaman achen maskhara ccm tunachukua jimbo la arusha mjini kama tunanawa vile...tumewachoka chadema chinja chinja...

Kwa akili zenu za kunguni mnahubiri siasa za ukabila eti mnataka mzawa mkidjani Monaban atapata kura za huruma toka kwa wazawa wenye akili za kunguni kama wewe.

Kwa composition ya Arusha Mjini kete ya ukabila/uzawa haiwezi kumuokoa Monaban ama hata Lowasa mwenyewe!
 
kwa akili zenu za kunguni mnahubiri siasa za ukabila eti mnataka mzawa mkidjani monaban atapata kura za huruma toka kwa wazawa wenye akili za kunguni kama wewe.

Kwa composition ya arusha mjini kete ya ukabila/uzawa haiwezi kumuokoa monaban ama hata lowasa mwenyewe!
kunguni ni wewe tena paka shume wee...umekosa chakuandika naona unamwaga mitusi yako hapa unadhani kila mda ni wa kunywa viroba.. Kitanda usichokilalia hujui kunguni yako wewe tuachie arusha yetu niondolee stori zako za vijiwen... Na ukome kuni-quote ukiandika ukuda kama huu. Sijui kinachokuuma nin wewe mkurya aliyekwambia nimeleta ukabila nani?? Acha kuongozwa na hisia tumia akili wewe...
 
Kaka hizo habari ni za uongo uliotukuka.... Mm nipo arusha na hakuna habari kama hiyo wala fununu.
Acha kuzusha habari za uongo bro..... Hiyo ukawa unayotaka ivunjike ndani ya siku moja.. Haiwezekani
 
Mleta mada we mwenyewe hueleweki! Ukawa imesambaratika kivipi, Kuna mahali upinzani upo strong kama Arusha?
 


Yaani CCM mshinde kwa sababu UKAWA hawaelewani? Kwani 2010 mliposhindwa UKAWA walikua wanaelewana au UKAWA ilikuwepo?

Hujui Siasa za Arusha wewe, kaa kimya!
Kaka mbona sikuelewi elewi?
Wewe hoja yako imelalia upande upi hasa?
 
Hakujawahi kuwepo UKAWA Arusha, maana hakuna Chama kingine zaidi ya Chadema chenye nguvu. Ni Natural Selection tu.
 
Niko Arusha hizo tarifa niza uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom