UKAWA yasambaratika Arusha, CCM washangilia

UKAWA yasambaratika Arusha, CCM washangilia

Mimi nilishasema,dhambi ya ubaguzi haitawaacha, sisi ACT wazalendo bado tunabisha hodi tupokeeni.
 
Ule usemi kuwa UKAWA ni wasaka tonge unaanza kukamilika taratibu.
Mkuu UKAWA ni ngumu kutenda kama wanavyofikiri. Kuna suala la viti maalum na suala la ruzuku. Ukimuachia mwenzako kiti cha Urais atapata kura na kupata viti maalum na ruzuku. CHADEMA wanataka kuitumia UKAWA kuua vyama vingine, naona wameanza kushituka.
 
Natamani kweli SISIEM iondoshwe madarakani, lakini
Kila siku huwa nasema sina imani na UKAWA,
 
Mkuu UKAWA ni ngumu kutenda kama wanavyofikiri. Kuna suala la viti maalum na suala la ruzuku. Ukimuachia mwenzako kiti cha Urais atapata kura na kupata viti maalum na ruzuku. CHADEMA wanataka kuitumia UKAWA kuua vyama vingine, naona wameanza kushituka.

Source??
 
Ninachokiona na kukiri kwa mwandishi kwamba kweli UKAWA ni tishio kwa mafisadi na wanufaika wa mfumo fisadi. Na katika UKAWA, mafisadi wanajua wakiitengua miguu ya CHADEMA, UKAWA itadhoofika sana.

Kwa feedback hii, CHADEMA songa mbele katika kujiimarisha kama CHAMA Mbadala wa CCM na mzidi kuimarisha UKAWA kama umoja makini wenye nguvu kubwa ambao ndio utakaorudisha umoja, amani, furaha na heshima ya Mtanzania ndani na nje ya nchi.

UKAWA wala msisikilize miweweseko ya CCM anayekata roho akijua anakwenda motoni kwa maovu yake aliyoyafanya akiwa hai.


UKAWA mbele kwa mbele, Tuko pamoja kujenga TANZANIA MPYA YA WATANZANIA.
 
Ule usemi kuwa UKAWA ni wasaka tonge unaanza kukamilika taratibu.

Onaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo sana wa kifikra yaani habari kama hii unavamia na kuchangia?
 
Nawashauri UKAWA mkae mumalize tofauti zenu kwani zinazungumzika. Arusha inatakiwa iwe mfano wa kuigwa kwani ndo chimbuko la mabadiliko tangu enzi za NCCR-Mageuzi.
 
Nawashauri UKAWA mkae mumalize tofauti zenu kwani zinazungumzika. Arusha inatakiwa iwe mfano wa kuigwa kwani ndo chimbuko la mabadiliko tangu enzi za NCCR-Mageuzi.
Kwa Mujibu wa Pande zote hakuna Tafauti Yoyote Tusiwe wakurupukaji wakutoa Taarifa ambazo hazina udhibitisho Asanteni

Chadema Kwanza
 
weka barua ya kiongozi wa hicho chama maana umeandika kitaarabu husemi chama gani husemi chanzo cha mgogoro
 
Mkuu isije ikawa mmetofautiana kwenye vilinge vya kahawa halafu we kusema ni UKAWA utakuwa unakosea sana.
 
Ccm ipo kwenye mstari wa kifo .Ukawa ipo imara sana.
 
Kwa ambao hawako Arusha mnaweza mkaongopewa na huyu, ila Arusha haturudi nyuma, tushafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Period.

Wakiandika kwenye gazeti ndo Mnaamini. Subirini magazeti ya kuanzia kesho uone watakavyo attach hadi barua. Unafikiri ni vizuri kutetea maovu? Nini kiliwafanya msisimamishe mgombea mmoja Serikali za mitaa na nini unapinga leo?
 
[/color]
naona vijembe vimeanza ila jaman achen maskhara ccm tunachukua jimbo la arusha mjini kama tunanawa vile..

Yaani CCM mshinde kwa sababu UKAWA hawaelewani? Kwani 2010 mliposhindwa UKAWA walikua wanaelewana au UKAWA ilikuwepo?

Hujui Siasa za Arusha wewe, kaa kimya!
 
UKAWA ni sawa na nyumba isiyo na msingi imara, hivyo kusambaratika hakuepukiki.
 


yaani ccm mshinde kwa sababu ukawa hawaelewani? Kwani 2010 mliposhindwa ukawa walikua wanaelewana au ukawa ilikuwepo?

Hujui siasa za arusha wewe, kaa kimya!

heri yako unayejua baba..endelea kujidanganya..kwa taarifa yako monaban ndo habari ya mjin wee endeleea tu na ma ukawa yenu na machadema..sie tunachanja mbuga..ngoja tuwatose wanywa viroba this time tumechokaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom