UKAWA Wapigwa Bao la Kisigino

UKAWA Wapigwa Bao la Kisigino

Haujui jinsi gani JK amepata pigo kubwa na haujui jinsi gani anashauriwa asitishe bunge hili kwa ajili ya hatua ya UKAWA. Ungesubiri usikie hotuba yake ya jumamosi kwanza, hotuba ambayo maandaliz yake ni pamoja na kuwadhibiti ukawa wasimtangulie kwa hoja mbele ya umma.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
either way,hata mchakato ukisimama hawatakula hasara yeyote na ukisimama,uchaguzi ujao inatumika katiba ya sasa.
 
Mie hata boss wako aliyekupa hii kazi ya kuja kufanya propaganda hapa JF ili kupunguza hoja za nguvu kutoka kwa wanachama na mashabiki wa CDM namjua nje ndani na malipo yako nayajua...au nikumwage hapa hadharani?
 
Thelusi mbili ya Zanzibar haipatikani na akuna ibara yoyote inaweza kupitishwa bila marithiano ya pande zote
kwani theluthi 2 ni ngapi?,kwasababu waliotoka hawafiki hata 100,sasa hao mia tano kweli isifike hesabu?.

Afterall leo jioni kabla ya bunge kusitishwa nimesikia kama wanasema kuna kanuni za kutengua kesho,isije kuwa kuna suprise kesho.
 
Waliotoka wako zaid ya 100 elewa ilo
 
Mbowe,mnyika,lisu,lipumba,mtatiro,duni,wenje,sugu,joyce,matiko,bulaya,mdee,filikunjombe na wachache wamenitoka,jumla haifiki hata 40.
 
Back
Top Bottom