Ulivyokurupuka utafikiri umekalia kigogo... Mambo ya UKAWA unakuhusu nini? endeleeni na Association of Criminals in Tanzania ... Crime Rates itaendelea kuwa juu hadi baada ya Uchaguzi Mkuu! Hilo tunalitambua maana ESCROW haikuwatosha ... UKAWA ndo suluhisho la Umasikini kwa Watanzania waliochoka kupuuzwa, kunyanyaswa na kudharauliwa Huku Rasilimali zao zikitapanywa hovyo ....
Nisaidiwe Ukawa Ikishika Nchi Nipangie Safu Ya Baraza La Mawaziri....
Haiwezekani huu muungano wa vyama. Wote hapo ni wasanii.mara mbatia ataka kujitoa. Mara nld wapewa majimbo 2 . hapo wameona wazuge zuge ili wagawanyike kila mtu apate sababu. Ninaamini hao viongozi wamesha hogwa na maccm . sisi wananchi tunawaasubili waje kama timu(ukwa)kikija kichama kimoja kimoja wapigwe. Watakuwa wameonyesha uloho, ubinafsi, uchu wa madaka,
Kila la kheri viongozi wetu. Sisi huku tumejiandaa kwa hali na mali ili oktoba wale kina "Thomaso" waamini "kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Hao wate wachumia tumbo chadema ishazikwa
mbowe ni nani mpaka awe na imani na tume ya uchaguzi? sisi wananchi ndio tunatakiwa kusema kua hatunaimani na tume kwasababu kura tume wanazohesabu sio za mbowe wala ccm ni zakwetu wananchi na kwanini mbowe anatishia tishia nchi kitoto hivi?serikali ipo wapi?????
Watupe orodha ya majimbo waliyogawana NCCR ,CUF na NLD wamepata mangapi,waache kupiga piga chenga
Slaa ndio mgombea, mwenza ni Lipumba.
mknd wako wewe mkabila na mbaguzi mkubwa! mazezeta kama wewe ndio mnaochelewesha ukombozi wa nchi hii.
Hahahaa Mzee Makaidi kanichekesha sana,
Hahahahahaaaaaaaaaa! Naona sasa ukawa wamechanganyikiwa. Ukiona wanatumia nguvu nyingi kukanusha uvumi wa kwenye media basi ujue wamenaswa
Ukawa watuambie kwa nini jana Mbatia na wajumbe wa NCCR Mageuzi walitoka nje ya kikao kwa hasira kabla hakijamalizika.
Vipi binti hujatoka tu kwenye Siku zako?ccm haikwenda ikulu yenyewe iliwekwa pale na wananchi na wananchi ndio wanahaki ya kuwatoa ila wewe tusi lako haliwezi kutoa ccm madarakani na wala kwa matusi yako hujashinda uchaguzi na tambua tanzania ni kubwa na tuko watu wenye mitazamo tofauti UKAWA =UJINGA KAWAIDA YA WAPINZANI kama kawa kama dawa ccm ikilu tena 2015-2025 kama huamini waulize wazazi wako kaka watakuambia.........!
Mbona Ukawa hawatutajii rais wetu mtarajiwa?
Mie mwananchi wa kawaida maharage ndio chakula changu. Na kwa kutambua na mimi nasitahili kula chakula kingine mimeamua kuwang'oa Chama Cha Zamani. Ima sina akili au ninazo. Lakini kwa takwimu za kitaalamu udumavu wa akili ni janga lataifa. Kwa maana hiyo tusio na akili niwengi kiasi cha kutosha kuwang'oa hao wenye kutumia milioni 10 kwa mboga.ndio wazazibwako.waliyo kukuza nayo so hakuna kingine utakachokikumbuka zaidi ya hayo maharage hakuna mtu mwenye akili zake aubtaahira atakayekubali chadema kua madarakani.................!